Wapi Patamu na Kwenye Furaha Zaidi

Wapi Patamu na Kwenye Furaha Zaidi

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
Let me Be Clear Wandugu Bado Sijaoa ila ningependa kupata Maoni Yenu mliooa Na Mliooa Mkawaacha Wake Zenu

Hivi wapi Patamu zaidi Kwenye Ndoa Au Mlipokuwa katika Mahusiano .. Ukiachana Na Inshu za Watoto kwamba Wanawaweka pamoja Vipi Ladha Ya Upendo Katika Ndoa na Katika Mahusiano Ya Kabla ya Ndoa
 
Mada hujaiweka vizur mm ninavyojua patamu ni pale unapoishi na mwenz wako kwa kuelewana katka ndoa na si unafiki
 
Ndoa taamu sana, hasa pakiwa na upendo, uvumilivu, kuaminiana, kusameheana na kuheshimiana.
Bae nipende kuliko jana
 
Muulize Ney wa mitego atakwambia wapi patamu
 
Patamu nipale mnapooana tu hasa ukipata mwenzio bikra na mkstoka kwenda honeymoon mwezi ule wote ni raha tu
 
~mahusiano kabla ya ndoa: palikuwa patamu kwa vitu vya kawaida, kukutana kimwili ilikuwa bado.

Baada ya ndoa: Hapa ni patamu zaidi kwa kuwa upendo wa kawaida na vitu vya kawaida vipo vizuri na KUKUTANA KIMWILI kunaleta utamu usioelezeka.

Nilikuwa kwenye uhusiano na mchumba wangu kwa miaka kadhaa "bila tendo la ndoa". Siku baada ya kuoana ndiyo ilikuwa ya kwanza kukutana kimwili na wote tulikuwa hatujawahi fanya hata siku moja kwenye maisha yetu. Honeymoon ilikuwa nzuri kupita maelezo.
 
Mkuu hapo lazma upate bao 4-5 kila siku kama british airways
Hapo ndio patamu
 
Back
Top Bottom