Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Siku zote mwanamke hawezi kupata mwanamme aliye sahihi
1.ukipata handsome kichwa chake ni empty
2.ukimpata genius yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawapo romantic hawapend kihivyo wapo rafu mno
3.ukipata tajir hawez kukuheshimu full madharau utamwambia nn pesa anayo
4.ukipata mfanyakazi bora na mtafutaj hana mda wa kuwa na ww mda wote anawaza kaz na kutafuta maisha
5.ukimpata mnyenyekevu mfukon huwa ni zero
6.ukimpata anaekupenda kwa dhat anakua sio type yako hana sifa zile unazotaka
7.UKIMPATA MSOMI HASIKILIZI USHAURI WAKO ANAKUONA BOYA TU
8.Ukimpata smart ni muongo to the maximum ....na player
Listen to ur heart..na shukurun kwa kila jambo tokea anguko la adamu hakuna mtu perfect hata ww haupo perfect
KWANN KULILIA PERFECT??????.?.