Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za siku nyingi wapendwa wanajukwaa! Siku nyingi kidogo sikuwa karibu na jukwaa japo nilikuwa napitapita humu kidogo kuenjoy maana katika mitandao yote ya kijamii Mimi Jamiiforums ndio the...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wana MMU, Wanawake naomba tuelewe kua wanaume wote sio sawa, usilazimishe mumeo tabia zake au kipato chake kifanane na mwengine chakufanya nikum support mumeo na alichojaliwa nacho, sio...
19 Reactions
75 Replies
6K Views
Kwanza kabisa naomba nieleweke kuwa mimi siyo member wa CHAPUTA na wala siwatetei watu wanaofanya huu mchezo bali napingana na watu wenye dhana ya kuwa eti mtu kujichua ni sawa na kuua na ni...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimejiajiri (yaani Freelancer) na nimeona mabadiliko makubwa maana sina stress za kuamka mapema niwahi kazini, ila huwa nina wa-treat wateja kama mabosi zangu hivyo nina nidhamu kwenye kazi yangu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu Nasema hivi ukinpm uwe na ishu ya maana na ya kueleweka maswala ya kuombana namba sihitaji alafu kwa sasa ni kipindi ambach nahitaji utulivu msipende kuongea na watu...
3 Reactions
67 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Nimewahi kuweka uzi wa kutafuta marafiki wa kawaida humu na nikaweka kigezo cha umri, kwamba kwa kuwa nina miaka 35 yule mwenye kuanzia 40-70 yrs atanifaa na ndo maono yangu!
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wapendwa napenda kuweka wazi kuwa Mimi si mwenyeji sana Wa Yale mambo ya wakubwa. Siku chache zilizopita nilipata bahati ya mtende, mtoto mkali akaja pale Getto na mchezo ukawa Wa 6*6. Tatizo...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Heshima kwenu.. Napenda niseme jambo moja kuhusiana na hawa wanaume wenye umri kuanzia 35-40. Wallah ukikuta mwanaume wa hivi halafu hana mke, hana mchumba wala hayupo kwenye mahusiano waogope...
9 Reactions
52 Replies
4K Views
Mara nyingi watu wamekuwa wakiogopa kula maembe mabichi kwa kuogopa sheria za nchi(especially wale wanaolipa 200 kwenye mwendokasi) Ila jaman haya maembe mabichi ni matam hasa ukiyala na...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Mimi ni kijana wa 26ys, naishi Dar. Nimejitokeza hapa kutafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli umri wowote kabila lolote, kinachotakiwa awe na mapenzi ya dhati, kwa aliye serious anakalibiswa PM...
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Habari wana JamiiForums, Katika maisha yangu sikuwahi kufikiria kama ipo siku nitaamua kuachana na suala zima la mapenzi ila kwa yaliyonitokea sina budi kusema SITAKI TENA MAPENZI. Nilikuwa na...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukikutwa na matatizo ya ndoa utadhani yapo kwako tu. Na wengine hukimbilia kuoa na kumpiga chini wa kwanza, Hivyo siyo kutatua tatizo, ni kuliongeza, kwani kila utakaemuoa anaitwa kiumbe dhaifu!
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo naomba niwape kiufupi stori ya kweli iliyonikuta kwa takribani miaka minne hivi. Nilipokuwa kidato cha sita mwaka 2012 nilitokea kukutana na binti mmoja anaitwa Sophia. (Si jina lake ila...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadada kuweni wa kisasa basi, siyo mnatongozwa mnaanza ubabaishaji kama zamani, mbona sie mkitutongoza hatuwazungushi na istoshe ni wepesi kukubali tofauti na nyie Badilikeni bana msiwe ivo...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Huyu atatimiza hizo ndoto zake kweli ? Kuja kuwa muigizaji bora? Au ataanza kuvunja ndoa za watu mapema sana? Ajitokeze mtu humu awe Manager wake la sivyo wajanja watamuharibia future... Nawaza...
10 Reactions
271 Replies
43K Views
Ni muda gani (Umri) sahihi wa kuwa na familia?
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari za wakati huu wadau, Kuna jambo naona kama linaniandama sasa hivi na sijui kama ni kawaida. Ni hiki cha kitendo cha mwanamke ambaye ana uhusiano na mtu mwingine anaponiomba hela ya...
10 Reactions
68 Replies
8K Views
wakuu mimi nilikuwa sijawahi kupiga punyeto..na wala sikuwa nataka kujaribu maana nilikuwa naona watu wakitafuta kila njia kuacha... lakini wiki iliyopita niliona uzi unaohusu punyeto humu jf...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…