Ungekuwa wewe Ungefanyaje!?

Ungekuwa wewe Ungefanyaje!?

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,756
Reaction score
2,309
Habari za siku nyingi wapendwa wanajukwaa! Siku nyingi kidogo sikuwa karibu na jukwaa japo nilikuwa napitapita humu kidogo kuenjoy maana katika mitandao yote ya kijamii Mimi Jamiiforums ndio the best kwangu.

Pamoja na hayo nina jambo nataka kushea nanyi naamini huku ntapata mwanga, ushauri na mawzo ya kutosha, mimi kwakweli peke yangu nimejam kabisa!

Iko hivi, Miezi kadhaa iliyo pita nilikutana na Dada mmoja mnyakyusa kutoka Mbeya! Ilikuwa mwezi wa 5/6 alikuja dar kwa baba yake mdogo, kwakweli Dada mashalaah yuko vizuri! niliomba usajiri pale kwa mbinde saaana nakasjiriwa japo ilikuwa ni kwa mkopo tu maana alidai ana straika wake mahili kamwacha kwao na asingependa kumpoteza mchezaji wake huyo!, basi mi nilichezea timu hiyo kwa mda Wa mwezi mmoja tu Dada huyo akaondoka kurudi kwao Mbeya! Tangu mwezi wa 7 Siku anaondoka aliniomba pesa kama Laki moja niknwambia sina nikampa 50 hakupendezwa na hilo hivyo akaondika kwa jaziba,

Baada ya kufika kule akawa ananionba omba pesa sana kwa sababu alizoea kupata izi elfu tano kumi karibia kila siku alipokuwa huku dar! Nikawa simtumii kwa sababu hatukuwa na mopingo endelevu na yeye na alisema bayana ana mtu kule sikwa na haja ya kupoteza hela yangu kizembe hivyo!

Tangu mwezi wa 7 hatukuwa na mawasiliano nae sasa jumapili ya wiki iliyo pita nilipigiwa simu na namba mpya kupokea akajitambulisha kuwa ndio yeye na ananitaarifu kuwa aliondoka na mimba yangu!

Baada ya kuhoji kwa nini ulikuwa kimya mda wote huo sikupata majibu ya kuridhisha! Actually nilikataa kabisa,! Sasa imekua kero SMS za vitisho eti tutaona mwisho wako Mara nakupeleka pilisi, mara nakuja dar nikutafute! Sijajibu SMS yake hata moja. Sasa jamani hii imekaaje inaweezekanaje mwanamke ubebe mimba 4 mouths hujijui kweli!?

Huyu binti anataka kunirisha Matango Pori mchana kweupe kabisa.

KIKUBWA NAOMBA USHAURI WENU BINAFSI NIMEKATAA JE? NI MEKOSEA!? AU NIFANYEJE!?
 
Uliingia bila condom na ulimwaga DNA zako ndani, subiri mtoto akizaliwa mkapime DNA meanwhile itabidi mshirikiane kulea kiumbe na akiwa mtoto wa mwenzako ni kushukuru Mungu na kujifunza.
 
Mtoto ni wa kwako huyo kama ulienda kavu
 
Mimba ina umri gani?
Piga hesabu mara ya mwisho kukutana naye na mda alioshika ujauzito....
Kama unaogopa sana kuuziwa mbuzi kwenye gunia subiri mpaka mtoto atakapozaliwa
 
Mkuu.... Papara ya nini Utadhani unaoga nje...

*mawzo... Sema mawazo...
*naksjiriwa.... Sema nikasajiliwa...
*niknwambia... Sema nikamwambia...
*jaziba... Sema jazba...
*mopingo endelevu... Sema mipango endelevu...
*sikwa na haja... Sema sikuwa na haja...
*nakupeleka pilisi... Sema nakupeleka polisi...
*4 mouths.... Sema 4 months...


Kiswahili shida... Kizungu shida...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Ha ha ha ha kumbe mafia hawapo dar es salaam tu mpka kwa wakina mwafulani
 
Duhhhhhh kazi kweli kweli.

Inua mikono juu na kumshukuru yeye alie.
Ni vizuri ukawa mkimya. Usimjibu kwa lolote bali subiri kiumbe kipya. Baada ya kukipokea nendeni mkapime DNA.

Kuhusu vitisho huna haja ya kuogopa kwani hukubaka.
 
Habari za siku nyingi wapendwa wanajukwaa! Siku nyingi kidogo sikuwa karibu na jukwaa japo nilikuwa napitapita humu kidogo kuenjoy maana katika mitandao yote ya kijamii Mimi Jamiiforums ndio the best kwangu.

Pamoja na hayo nina jambo nataka kushea nanyi naamini huku ntapata mwanga, ushauri na mawzo ya kutosha, mimi kwakweli peke yangu nimejam kabisa!

Iko hivi, Miezi kadhaa iliyo pita nilikutana na Dada mmoja mnyakyusa kutoka Mbeya! Ilikuwa mwezi wa 5/6 alikuja dar kwa baba yake mdogo, kwakweli Dada mashalaah yuko vizuri! niliomba usajiri pale kwa mbinde saaana nakasjiriwa japo ilikuwa ni kwa mkopo tu maana alidai ana straika wake mahili kamwacha kwao na asingependa kumpoteza mchezaji wake huyo!, basi mi nilichezea timu hiyo kwa mda Wa mwezi mmoja tu Dada huyo akaondoka kurudi kwao Mbeya! Tangu mwezi wa 7 Siku anaondoka aliniomba pesa kama Laki moja niknwambia sina nikampa 50 hakupendezwa na hilo hivyo akaondika kwa jaziba,

Baada ya kufika kule akawa ananionba omba pesa sana kwa sababu alizoea kupata izi elfu tano kumi karibia kila siku alipokuwa huku dar! Nikawa simtumii kwa sababu hatukuwa na mopingo endelevu na yeye na alisema bayana ana mtu kule sikwa na haja ya kupoteza hela yangu kizembe hivyo!

Tangu mwezi wa 7 hatukuwa na mawasiliano nae sasa jumapili ya wiki iliyo pita nilipigiwa simu na namba mpya kupokea akajitambulisha kuwa ndio yeye na ananitaarifu kuwa aliondoka na mimba yangu!

Baada ya kuhoji kwa nini ulikuwa kimya mda wote huo sikupata majibu ya kuridhisha! Actually nilikataa kabisa,! Sasa imekua kero SMS za vitisho eti tutaona mwisho wako Mara nakupeleka pilisi, mara nakuja dar nikutafute! Sijajibu SMS yake hata moja. Sasa jamani hii imekaaje inaweezekanaje mwanamke ubebe mimba 4 mouths hujijui kweli!?

Huyu binti anataka kunirisha Matango Pori mchana kweupe kabisa.

KIKUBWA NAOMBA USHAURI WENU BINAFSI NIMEKATAA JE? NI MEKOSEA!? AU NIFANYEJE!?
Habari za siku nyingi wapendwa wanajukwaa! Siku nyingi kidogo sikuwa karibu na jukwaa japo nilikuwa napitapita humu kidogo kuenjoy maana katika mitandao yote ya kijamii Mimi Jamiiforums ndio the best kwangu.

Pamoja na hayo nina jambo nataka kushea nanyi naamini huku ntapata mwanga, ushauri na mawzo ya kutosha, mimi kwakweli peke yangu nimejam kabisa!

Iko hivi, Miezi kadhaa iliyo pita nilikutana na Dada mmoja mnyakyusa kutoka Mbeya! Ilikuwa mwezi wa 5/6 alikuja dar kwa baba yake mdogo, kwakweli Dada mashalaah yuko vizuri! niliomba usajiri pale kwa mbinde saaana nakasjiriwa japo ilikuwa ni kwa mkopo tu maana alidai ana straika wake mahili kamwacha kwao na asingependa kumpoteza mchezaji wake huyo!, basi mi nilichezea timu hiyo kwa mda Wa mwezi mmoja tu Dada huyo akaondoka kurudi kwao Mbeya! Tangu mwezi wa 7 Siku anaondoka aliniomba pesa kama Laki moja niknwambia sina nikampa 50 hakupendezwa na hilo hivyo akaondika kwa jaziba,

Baada ya kufika kule akawa ananionba omba pesa sana kwa sababu alizoea kupata izi elfu tano kumi karibia kila siku alipokuwa huku dar! Nikawa simtumii kwa sababu hatukuwa na mopingo endelevu na yeye na alisema bayana ana mtu kule sikwa na haja ya kupoteza hela yangu kizembe hivyo!

Tangu mwezi wa 7 hatukuwa na mawasiliano nae sasa jumapili ya wiki iliyo pita nilipigiwa simu na namba mpya kupokea akajitambulisha kuwa ndio yeye na ananitaarifu kuwa aliondoka na mimba yangu!

Baada ya kuhoji kwa nini ulikuwa kimya mda wote huo sikupata majibu ya kuridhisha! Actually nilikataa kabisa,! Sasa imekua kero SMS za vitisho eti tutaona mwisho wako Mara nakupeleka pilisi, mara nakuja dar nikutafute! Sijajibu SMS yake hata moja. Sasa jamani hii imekaaje inaweezekanaje mwanamke ubebe mimba 4 mouths hujijui kweli!?

Huyu binti anataka kunirisha Matango Pori mchana kweupe kabisa.

KIKUBWA NAOMBA USHAURI WENU BINAFSI NIMEKATAA JE? NI MEKOSEA!? AU NIFANYEJE!?
 
Mwambie msubiri mtoto azaliwe mkapime. Kama ni msanii atakimbia na kama ni mkweli atakuwa mtulivu na kama ukigundua mtoto ni wako,usimtelekeze.
 
Point yake hapo ni kwamba inawezekana vipi ajue ana mimba after 4months??? I think ni muhimu kuanzia hapa.
 
Ulipofanya ngono zembe ulitegemea nini,umeshalikoroga huna budi kulinywa.
 
Back
Top Bottom