NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Habari wana MMU,
Wanawake naomba tuelewe kua wanaume wote sio sawa, usilazimishe mumeo tabia zake au kipato chake kifanane na mwengine chakufanya nikum support mumeo na alichojaliwa nacho, sio kum stress, au akikwambia nina hela ya saloon elfu 50 lakini ya wigi jipya sina subiri siku nyengine
mwanamke mdomo utaupindisha kama unakamua shati unataka kulianika.
Siku mume akikupa hela majina yote utamuita, nyongo mkalia ini, mwandani, mboni yangu, furaha yangu, baby, honey, sweetheart, my love, mkali wao, kiboko ya sita kwa sita na mengineyo.
Siku akikosa ndio atatafuta shimo aingie matusi kejeli aibu moja kwa zote, unaanza mwanamme utakua wewe, najuuta hata sijui nilishikwa na ibilisi gani nikakukubali wewe, muone sura yake kama sijui sijui nini, hukuiona sura yake mwanzo?
Mwanamke mwenzangu kua na hekima ujue umuhimu wa mume na kumheshimu, kumbuka ipo siku nayeye ata win na hata kama humtaki bora mwambie kua nimekuchoka sio kum stress na maneno mabaya, akichukuliwa na mwenzio utasema mwanamme yule hana fadhila wala shukrani, tujirekebishe wanawake wenzangu.