santeeee!Mikataba tuu mlio wekeana ndo yatakiwa muifuate
Sijakuelewa. Untaka nikakague cheti cha ile ndoa inayomkera wantakia mema kweli?Kenye ile hati ya ndoa kuna aina za ndoa so kaangalie huyo jamaa aliandika anafunga ndoa ya namna gan then tunaweza kushaur from there.
Dini ni tofauti. Lakini hil la dini halinisumbui tayari tuna watoto wawili na tunaishi pamoja kama mke na mume, nataka iwe rasmi zaidi wanangu wasikose haki zao.Mpaka unafikiria kufungia bomani bilashaka kutakuwa na tatizo ama wewe , dini au wazazi wa upande furani. Kuwa makini dogo .
aende kwa mkuu wa wilaya haina masharti yoyote ninavyojua!Ile kule ishamshinda siku nyingi sema dini yake hairuhusu talaka. Lakini serikali haina dini ndo maana twataka ndoa ya kiserikali.
Kwan anaetaka ndoa ya serikalin ni wewe au ndio ndoa unayotaka kuvunja?Sijakuelewa. Untaka nikakague cheti cha ile ndoa inayomkera wantakia mema kweli?