Mpenzi wangu namdai pesa. Sijui nifanyaje anilipe

Mpenzi wangu namdai pesa. Sijui nifanyaje anilipe

J23

Senior Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
151
Reaction score
193
Jaman mimi nina mpenz ambae kabla hutujawa wapenzi alikuwa rafiki yangu wa kawaida tena hatukuwa na ukaribu sana. Siku moja alipata shida akaja nimuazime pesa laki tatu nikampa baada ya muda tena akarudi nimuongezee laki mbili nikampa na kwa kuwa namfahamu na najua anafanya shughuli gani nikajiaminisha atanipa

Lakini kadri siku sinavyosogea akawa anakuja kwangu na kuanza kuonyesha ishara za kimapenz japo akaniahidi kunipa pesa yangu kama baada ya wk1 tu. kilichofuata alikuja too night kwa kweli sikuvumilia nikamaliza mchezo baadae tukaendelea na kamchezo ketu ka kwich kwich sasa imefikia hatuzungumzii habari za pesa yangu

Siku moja moja ndo ananiambia atanirudishia pesa yangu japo huwa namwambia kuwa wapenzi haimanishi hunilipi pesa yangu anadai mambo yake yakikaa vizuri atanirudishia. Sasa nifanyaje anilipe pesa yangu wana JF naombeni ushauri wenu.
 
Mbona ameshakulipa?? Hapo sahau, kakuuzia papuchi, ndo wanawake walivyo!
Anyway, natumai wewe ni dume, kama ni jike, utapata pesa yako, wanaume hatuko hivyo!
 
haaaaaaa ukipewa ni pm plz ,mke ,mkwe ,mpenzi siwakopeshi bt unamsaidia ,mtiti jinsi gn utamdai ?
 
Na ukishindwa kuendelea kumpa hela ataenda kukunjwa na wengine...

Mjini raha sana (ukiwa na hela)
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Mimi haya yalinikuta kama hii story yako. Tulikuwa marafiki akanipa papuchi kama mara tatu nikaidai hela yangu. Akaniambia wapenzi hawa kopeshani nikamwambia nilikukopesha kabla na mimi sio mpenzi wako. Rudisha hela sina mapenzi kwenye hela
 
Ungedai kwanza chako before hujakwich kwich nna waswas umebakiza elf kumi tu from laki tano kwa service uliyopewa
wanawake wajanja sana usikute anajiandaa kumpga bomu lingine tena
 
Jaman mimi nina mpenz ambae kabla hutujawa wapenzi alikuwa rafiki yangu wa kawaida tena hatukuwa na ukalibu sana. Siku moja alipata shida akaja nimuazime pesa laki tatu nikampa baada ya muda tena akaludi nimuongezee laki mbili nikampa na kwa kuwa namfahamu na najua anafanya shughuli gani nikajiaminisha atanipa lakini kadri siku sinasogea akawa anakuja kwangu na kuanza kuanza kuonyesha ishara za kimapenz japo akaniahidi kunipa pesa angu kama baada ya wk1 tu kilichofuata alikuja too night kwa kweli sikuvumilia nikamaliza mchezo baadae tukaendelea na kamchezo ketu ka kwich kwich sasa imefikia hatuzungumzii habari za pesa yangu siku moja moja ndo ananiambia atanirudishia pesa yangu japo huwa namwambia kuwa wapenzi haimanishi hunilipi pesa yangu anadai mambo yake yakikaa vizuri atanirudishia. Sasa nifanyaje anilipe pesa yangu wana JF naombeni ushauri wenu.
Mkwichikwichi dada yake na Mdogo wake na Rafiki zake wanne kufidia pesa uliyomkopesha
 
Mambo kama haya hayafai kuanzishiwa thread aiseeee.....
Na hii inapoteza maana halisi ya jf great thinkers.
Alafu.....
Kwanza unaonekana wazi kwamba wewe ni mlafi, ngono unataka na pesa unataka. Na hii inaonyesha wazi jinsi usivyo mkomavu na yogoyogo kwenye changamoto ndogondogo hata za kumaliza wewe mwenyewe.
 
Hahaha hahahaha kuna watu mnachekesha ndo amwshakulipa huyoo
 
Back
Top Bottom