Kabla sijaamua kuwa na nyumba ndogo imenibidi nitumie mbinu zote za kumrekebisha mke wangu ili aachana na mambo yanayosababisha mimi nioe mke mwingine.
Nimejaribu lakini naona anajirekebisha siku...
Wakati mwingine ni vigumu kuamini, lakini jambo hili huwatokea wanawake wengi kwamba wanaume wanaotoka nao kuna uwezekano mkubwa wakawa wanatoka na wanawake wengine kwa nyakati tofauti na hufanya...
Habari zenu jamani
Leo nakuja na uzi wa majanga. Kwa ufupi nilideti na mke wa mtu japo mume wake yuko mbali na hawakai nae. Sasa kuna siku nilimuita home nilikuwa na ukame wa haja na siku hiyo...
Unakuta mwanamke yupo tayari mumewe awe na michepuko mitaani, ila anamzuia kuoa mke wa pili. Tena unakuta anamsisitiza "kuliko kuniletea mke mwenzangu, bora uwe na vimada" - Ni ujuha, kwa kuwa...
Wasalam wana wa jukwaa,
Ni imani yangu mu buheri wa afya, nami ni mzima kabisa. Nimepatwa na wazo la kuwa na mtoto mmoja wa pekee pindi niwapo na familia.
Wadau mlio na mtoto mmoja na wale...
Wakuu,
Ni jana tu nilikuwa nachat na mke wangu mtarajiwa ambaye ni mwema na ni mtiifu sana, hana tabia ya kunikwaza ovyoovyo, na ikitokea ananiomba msamaha sana. Tulikuwa tunajadili kuhusu...
Baada ya kampuni ya WhatsApp.com kuboresha mtandao wake kwa kuweka video call, sasa watu ndoa zao zipo hatarini kuvunjika.
Nasema hivyo unakuta mwanamke ana IMO apps anamlazimisha mume na yeye...
Nawashanga sana ninyi wadada. Unajua kabisa mtu ana mke wake lakini unakubali uwe nyumba ndogo yake. Kwako huyo mwanamume halali. Anamaliza mambo yake na kurudi kwa mkewe.
Usiniambie eti ni...
ndg wana Jf kuna binti mmoja nilikuwa nae ktk mahusiano miezi kadhaa zilizopita, mahusiano yetu yalikuwa ya malengo ila kutokana na tabia zake za ukorofi niliamua kumwacha sasa baada ya hapo...
Habari zenu wana MMU ,naomba kuuliza hivi kitokana na uhitaji mkubwa wa tendo la ndoa kwa mwanaume na ikatokea mwanamke ambaye anakuwa na maamuzi ya kusema leo sitaki wakati mume anahitaji hapa...
Mimi ni mwanamke wa kiislam natafuta mume wa kiislam tu
Miaka yangu ni 30-35
Mume naemtaka awe 35-40
Awe mchapa kazi mwenye kujishughulisha na maendeleo
Awe mtu wa dini asipende zinaa wala shirk...
Hello JF,
Katika maisha kila binadamu hukosea na aombapo huweza kusamehewa au kutokusamehewa, kwa wale mnaosamehe mnawezaje kufanya hivyo?
Sababu mimi mtu akinikosea kitu ambacho kikanitoa chozi...
Hello
Walahi hawa viumbe wameumbika. Tangu nianze kuwakwatua sijawahi kuona mbovu. Mimi mtu akishakuwa wa kike tayari ananivutia, then awe mweusi umbo la wastani. Shout out kwa girls, wote ni...
Jaman wanawake japo ni mama zetu dada zetu wake zetu mnaroho mbaya saana hasa nyinyi kwa nyinyi unakuta mwanaume anapo taka kuoa mke wa pili hua ni vurugu na heka heka za kufa mtu kisa hataki...
Asilimia kubwa ya wanawake wa mitandaoni wanawaza ngono tu muda wote. Mfano umemtumia mdada ujumbe just for "friendship" (tena hiyo ni salamu tu), ataishia kuangalia na hatojibu ukihoji...
Hivi unapolea mimba na hadi mwanamke anajifungua na kumlea mtoto ila mnapokuja kugombana anakwambia mtoto si wako, hivi hapo mwanamke huwa anamaanisha nini na anahitaji kufanyiwa nini?
Hasa hawa...
Habari zenu wanaJF
Kuna jambo linanitatiza sana limenikuta mara kadhaa na hata baadhi ya rafiki zangu. Nimejikuta na maswali mengi kutokana na hilo jambo:
Mnaposema unataka niwe hot maana...
kuna baadhi ya madem wanatuchoresha sana na kuonekana bado tupo analog unakuta mdada kavaa rundo la mishanga ilo alafu kayasokota sokota balaa alafu hajayafunika na akikaa inaninginia hivi...