karume kenge
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 568
- 423
Jaman wanawake japo ni mama zetu dada zetu wake zetu mnaroho mbaya saana hasa nyinyi kwa nyinyi unakuta mwanaume anapo taka kuoa mke wa pili hua ni vurugu na heka heka za kufa mtu kisa hataki mwanamke mwenzie astiriwe ila yeye akimkuta mwanaume anamke yuko tadhi kua mke wa pili na kumpa maneno mwanaume ya matumain na upole wa ajabu mtavumilia tu mme wangu tutacho pata tutagawana rizki anatoa mungu kwa nn ikiwa na ww mke wa kwanza usitoe maneno kama hayo kwa mke mwenzio wa pili acheni kuoneana wivu wanawake wenzenu wanataabika huku mtaani na wengine kujiuza ili kupunguza hili wimbi wanaume tuoe wake wawili watatu wanne ili kuwastir hawa dada zetu kwanza ukizingatia wao ni wengi wote tuoe mke mmoja mmoja hawa wengine nani awaoe au wafe bila kuolewa mwisho nawasii wanawake mlio kwenye ndoa acheni wanaume waoee na wenzenu wapate stara