Whatsapp sasa wanavunja ndoa za watu soon

Whatsapp sasa wanavunja ndoa za watu soon

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Baada ya kampuni ya WhatsApp.com kuboresha mtandao wake kwa kuweka video call, sasa watu ndoa zao zipo hatarini kuvunjika.

Nasema hivyo unakuta mwanamke ana IMO apps anamlazimisha mume na yeye aweke mume anavunga sasa leo ipo katika WhatsApp na penyewe utasema sitaki kudownload apps?

Sasa utaambiwa naomba upokee video hapo patakuwa pagumu sana labda uzime data, lakini utazima kila siku?

WhatsApp mungu anawaona ujue!
 
Baada ya kampuni ya WhatsApp.com kuboresha mtandao wake kwakuweka video call sasa watu ndoa zao zipo hatarini kuvunjika nasema hivyo unakuta mwanmke ana INO apps anamlazimisha mume nayeye aweke mme anavunga sasa leo ipo katika whats app napenyewe utasema sitaki kudownload apps??
Sasa utaambiwa naomba upokee video hapo patakuwa pagumu sana labda uzime data!lakini utazima kila siku??
WhatsApp mungu anawaona ujue!!
Mungu anakuona wewe unayetaka kudanganya na si watu wa whatsapp
 
Baada ya kampuni ya WhatsApp.com kuboresha mtandao wake kwakuweka video call sasa watu ndoa zao zipo hatarini kuvunjika nasema hivyo unakuta mwanmke ana INO apps anamlazimisha mume nayeye aweke mme anavunga sasa leo ipo katika whats app napenyewe utasema sitaki kudownload apps??
Sasa utaambiwa naomba upokee video hapo patakuwa pagumu sana labda uzime data!lakini utazima kila siku??
WhatsApp mungu anawaona ujue!!
Acha urongo wewe... hakuna kitu kama hicho.

Whatsapp si watu wa kisportsport
 
Wenzio Jumapili tunakuwa makanisani we mtoto wa kipare unakuwa bar???

Mungu anakuona wallah
Mie huwa nina sali misa ya pili (katoliki) inaanza saa 3.00 asubuhi hadi saa tano, baada ya hapo ninakwenda home kuweka mambo yangu sawa halafu najirusha! Napenda sana kujirusha hasa nikiwa na pesa, sijitesi nafanya kitu ambacho roho yangu inapenda atiiiiiiiiiiiii.😀😀😀
 
Orayt... siku ukipata nauli, ujifanye umepotea njia utokezee kipande cha huku Bunju tujirushe pamoja.

Bill ntalipia mimi kwa hisani yako.
 
Orayt... siku ukipata nauli, ujifanye umepotea njia utokezee kipande cha huku Bunju tujirushe pamoja.

Bill ntalipia mimi kwa hisani yako.
hahahahah naogopa magari nasikia huko "Tanzania" kwenu magari ni mengi sana, sie huku Mwanza sio mengi kihiivyooo haahahahahahah
 
Kamwe WhatsApp haina uwezo wala nguvu za kuvunja ndoa ya mwanadam.
Ndoa ya mtu huvunjwa na mtu, na hapa nimekumbuka aliewahi kusema kwamba bunduki haiui mtu, bali mtu ndie huua mtu.

Alafu mleta uzi.....
Acha kufananisha Mungu na vitu vya kijinga aiseeee....[emoji34] [emoji34] [emoji34]
 
Si kuna ile ndege ya pangaboi???

Panda hiyo uje ule bata wanaokula nyasi...
Issue sio flight tatizo ni kuvuka barabara nikiwa hapo Dar, mie huwa natumia Precision kama nikiwa na kajisafari ka kuja huko au kwenda KIA
 
Back
Top Bottom