Mke wa mtu anasema ana mimba yangu, nifanyeje?

MR LINKO

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,034
3,480
Habari zenu jamani

Leo nakuja na uzi wa majanga. Kwa ufupi nilideti na mke wa mtu japo mume wake yuko mbali na hawakai nae. Sasa kuna siku nilimuita home nilikuwa na ukame wa haja na siku hiyo kiukweli nilijilaumu na alikuwa siku mbaya tulimaliza mambo yote na kila mtu akaenda kivyake.

Kesho yake nilienda nikamnunulia dawa za p2 ili kuepuka mimba. Sasa baada ya week moja alipima ikajulikana hana kabisa. Baada ya week mbiili akaja na kuniambia kuwa anayo mimba tena dalili ziko.

Jamani hivi hapo kuna ukweli kweli maana aliniambia kuwa dalili aliyonayo ni maziwa yanatoka kwenye chuchu na kiukweli hata kama mtu hujasoma ni kitu ambacho hakipo hata kidogo.

Naomba ushauri nimfanyeje huyu mtu
1. Nimpotezee afe na mimba yake
2. Nimsaidie kutoa yani nijishushe maana yaweza kuwa si yangu na mi ukute nakula mateso tu.
 
Imeandikwa msiikaribie zinaa kwa sababu ni uchafu na upotevu wa njia.
Pia imeandikwa usizini.

Lakini binadamu tulivyo na udhaifu wa kuiendekeza nafsi ona sasa mawazo ya kishetani yalivyokugandamiza uue au kutoa mimba zote dhami za mauaji tu.

Cha msingi tubu kwa imani yako ili upate rehema kwa aliyekuumba kwa maana atakaye kushauri ufuate moja kati hizo njia mbili ulizozitaja maana mnashirikiana katika hiyo dhambi wakati ulipoanzia haukumshirikisha mtu.

Epukeni zinaa vijana wenzangu fungeni ndoa halali ili muishi katika maisha yaliyo na amani na kumpendeza aliyewaumba.
 
Habari zenu jamani
leo nakuja na uzi wa majanga . kwa ufupi nilideti na mke wa mtu japo mmme wake yuko mbali na hawakai nae sasa kuna siku nilimuita home nilikuwa na ukame wa haja na siku hiyo kiukweli nilijiliua na alikuwa siku mbaya. kesho yake nilienda niika mnunulia dawa za p2 ili kuepuka mimba sasa katika week moja alipima ikajulikana hana kabisa sasa baada ya week mbiili akaja na kuniambia kuwa anayo mimba. jamani hivi hapo kuna ukweli kweli maana aliniambia kuwa dalili alio nayo ni maziwa yanatoka kwenye chuchu nna kiukweli hata kama mtu hujasoma ni kitu ambacho hakipo hata kidogo.

ushauri nimfanyeje huyu mtu
1.nmpoteze afe na mimba yake
2.au nimsaidie kutoa yani nijishushe
maana yaweza kuwa si yangu na mi ukute nakula mateso tu .
Ushauri mzuri zaidi naoweza kukupa ni kuongea na mzinzi mwenzio ili mkatubu dhambi zenu.

Uzinzi ni dhambi...

Hivi shule za siku hizi mnaenda kusomea ujinga?? (kwa hisani ya FaizaFoxy )
 
Imeandikwa msiikaribie zinaa kwa sababu ni uchafu na upotevu wa njia.
Pia imeandikwa usizini.

Lakini binadamu tulivyo na udhaifu wa kuiendekeza nafsi ona sasa mawazo ya kishetani yalivyokugandamiza uue au kutoa mimba zote dhami za mauaji tu.

Cha msingi tubu kwa imani yako ili upate rehema kwa aliyekuumba kwa maana atakaye kushauri ufuate moja kati hizo njia mbili ulizozitaja maana mnashirikiana katika hiyo dhambi wakati ulipoanzia haukumshirikisha mtu.

Epukeni zinaa vijana wenzangu fungeni ndoa halali ili muishi katika maisha yaliyo na amani na kumpendeza aliyewaumba.
kwahiyo nisizini mpaka ndoa sio . hayo ni majanga hamna cha shetani wala nani ni bahati mbaya ya utamu kunoga
 
mimba wiki 2 na maziwa:eek: i never heard it! au hayo madawa unayompa yameenda kuharibu process za mwili...
komaa nalo ujue unalimalizaje chakukwambia ni ukome kwa maana ulkuwa unajua kbs unatenda nini:(:(
 
Back
Top Bottom