issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,851
- 12,745
ndg wana Jf kuna binti mmoja nilikuwa nae ktk mahusiano miezi kadhaa zilizopita, mahusiano yetu yalikuwa ya malengo ila kutokana na tabia zake za ukorofi niliamua kumwacha sasa baada ya hapo amekuwa msumbufu kweli kweli mara anitxt ati japo sitomuoa tuendelee kufanya mapenzi tu.
Sasa wanajamvi naombeni ushauri nifanyeje mimi? inakukaje mtu mlishaachana yeye akahitaji mfanye ngono?
Sasa wanajamvi naombeni ushauri nifanyeje mimi? inakukaje mtu mlishaachana yeye akahitaji mfanye ngono?