Wamama wa JamiiForums nisaidieni kwa hili

Gatekalii

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
286
500
Kabla sijaamua kuwa na nyumba ndogo imenibidi nitumie mbinu zote za kumrekebisha mke wangu ili aachana na mambo yanayosababisha mimi nioe mke mwingine.
Nimejaribu lakini naona anajirekebisha siku mbili halafu anajisahau tena.

Yawezekana wkt wa kuingia kwenye ndoa hakufundwa vizuri.

Sasa naomba mnielekeze kama kuna sehemu wanafundwa wanawake jinsi ya kuihandle familia pia ni jue na gharama ya hiyo huduma. Hata kama milioni nitatoa ili niokoe janga la kuoa mke wa pili
 

monicer

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
248
250
Kipind cha nyuma mlikuwa mkienda sawa na gafra kabadlika au VP cjaelewa apo
 

Mbekenga

JF-Expert Member
Jun 14, 2010
1,641
2,000
Kuwa specific kosa lake ni nini. Kama anakuwa kiruka njia mtafute ngariba akate antena ikishapungua urefu anaelekeza akili zake kwenye shughuli za uzalishaji mali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom