Sijawahi kuona msichana mbaya

Sijawahi kuona msichana mbaya

charleslee

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2016
Posts
408
Reaction score
201
Hello

Walahi hawa viumbe wameumbika. Tangu nianze kuwakwatua sijawahi kuona mbovu. Mimi mtu akishakuwa wa kike tayari ananivutia, then awe mweusi umbo la wastani. Shout out kwa girls, wote ni wazuri tatizo wengi hawajielewi.

Sijui wewe, umewahi ona msichana mbaya?
 
Ubaya wa mtu upo machoni pa mtu kama ilivyo uzuri wa mtu upo machoni pa mtu.
Kwako mbaya kwangu mzuri na kinyume chake hivohivo.
 
Back
Top Bottom