Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 8,799
- 8,706
Habari za weekend wanakijiji, niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimejiuliza nimekosa majibu kadili siku zinavyozidi kwenda watu wengi wanakata tamaa kwenye mahusiano mwisho wa siku wanaona bora kukaa wenyewe tatizo ni nini? Kwanini watu wanashindwa kudumu kwenye mahusiano? Siku hizi imekuwa kawaida mtu anaanzisha mahusiano Leo baada ya miezi miwili mahusiano yanavunjika kwa mwaka mtu anafunga mahesabu ya wanawake hata wanne au wanaume wanne.
Kuna dada mmoja anamiaka 38 yeye hataki hata kumsikia mwanaume, nikamuuliza haja zake anatimizaje anajibu "eti haja natimiza popote siwezi kosa wa kutimiza haja". Ni kwamba vijana wengi wa siku hizi hatuna elimu ya mahusiano au ni nini? Kwenye ndoa ndo usiseme mtu ana mke au mume lakini anamichepuko mitatu mpaka maana ya ndoa yenyewe inapotea.
Najua changamoto za mahusiano ni nyingi na hazijaanza Leo zipo toka kitambo, kwamba vijana wa kizazi cha sasa wa kike kwa wakiume tumeshindwa kukabiliana na changamoto?
Najua mahusiano hujenga familia, na familia hujenga jamii na taifa kwa ujumla tunajenga taifa la aina gani baadaye na nini kifanyike.
Karibunii kwa hoja.