Hivi, unaanzaje kumuita mke wako "mama"? Au mumeo " baba/daddy"? HOPELESS KABISA
unamuita MAMA, inamaana unaweza kumlala mama yako? Ama unamuita mumeo BABA/DADDY ina maana unaweza kumvulia chupi Baba yako?
Muite MPENZI, BABA/MAMA FULANI, MUME WANGU, MKE WANGU etc.
Labda kama unaita kwa kufuata, watoto wako wanavyomuita kama njia ya kuwafundisha na kuwaelekeza wanao.
Lakini Kama ni kwa lengo la kudumisha mapenzi.. Mnakosea