heeee si nimekosea meseji ya hawara nikamtumia bwana angu...............

heeee si nimekosea meseji ya hawara nikamtumia bwana angu...............

Caritha

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
64
Reaction score
13
jamani juzi kati nilikuwa saloon fulani ya kike mara akaingia dada mmoja akkaanza kumwadithia mwenziye.... hee shoga mwenzangu nimenuniwa huko si nimekosea kutuma meseji ya hawara wangu nikamtumia bwana angu, sasa mimi nashindwa kuelewa hivi ni sifa mtu kuwa na hawara halafu unajisifia mbele za watu bila aibu? tulizana tuko wangapi?:angry::A S cry:
 
maisha bora kwa kila mtanzania.....siasa ya TZ inaingia kila sekta
 
Haki sawa, mbona wanaume wanao na wanajisifia?
 
Hodi jamani..... mm mgeni wenu leo. Ningeomba nichangie kiduchu juu ya hii hoja. Huyo dada hana aibu na alimdhalilisha mume wake. Kikubwa zaidi apewe ushari jinsi ya kuishi ukiwa kwenye ndoa
 
mtumie hawara 'message' ya mumeo, mambo yatakuwa yamekwisha.
 
Wakifumaniwa ndio hata fahamu kwanini kwenye ndoa anaitajika mume moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom