Mapenzi Bila Kushikiana Hayanogi???

Mapenzi Bila Kushikiana Hayanogi???

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,267
Mama ake mzazi aliemlea miaka yote ile hashiki
simu yake...sasa wewe ulieokotwa majuzi tu hapa
haki hiyo ulipewa na shirika lipi kwenye umoja
wa mataifa? Kupendwa na mtu sio kibali cha kua
na umbea. Ukivuka mipaka ukaanza kushika
simu ya mpenzi wako, unastahili kuona yote yatakayokupa vidonda vya tumbo
 
Kwa maana hiyo hata vocha na hela ya maitaji mengine wawe wanaenda kwa wazazi wao au mashilika cndio
 
kuna mtu ata reply nakusema.,.naiona Tanzania ya viwanda

ashike tu,.my woman anashika simu yangu anavyotaka
Aisee tatizo kushikiana simu kunachangia kwa kiasi kikubwa magonjwa ya presha....
 
Back
Top Bottom