Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,080
- 5,887
Wasaalam waungwana!
Kama kichwa kinavyo jieleza,hiko hvi kwanza mm nikijana msomi,very handsome then Nina baati ya kuwa na mahusiano na wasichana wazuri.
In fact tatizo langu ni kwamba kila nikiamua yakwamba sasa naoa,vikwanzo vinaibuka from no where,yani naweza kukaa na mshichana kwenye mahusiona hata kwa miaka2,but nikianza tu zile process za kumtambulishau ugovi unaibuka,au gofla namuona kama anifai,au msichana wangu akila usiku anaoto anapigwa na wasicha ambao hata hawafahamu akiambiwa kaambali na mume wetu,dah!!nikweli kunakimbini nilikuwa nateswa na majini mahaba but nilishafunga na kuomba sana juu ya hili and now nina almost 1year hilo tatizo halipo kabisa.
Nimesha uzuria katika makanisa ya kiroho sana.
Wadau nifanyaje bcoz kuna mtoto mmoja wa kiSpain,amekolea sana na nimeshapindua sana,sasa nifanyaje nisiishie kwnye process kama kawa.