Huu ni utoto au ugonjwa

Xiang Hao

Senior Member
Nov 19, 2016
109
225
Habari wanajukwaa mimi ni kijana nimezaliwa miaka 21 iliyopita lakini katika umri wangu wa kujua kuchunguliana sijawahi kupenda, nimeshapitia kwenye mahusiano zaidi ya wasichana watano lakini huwa sidumu nao yaani kimshatongoza haijalishi nitatumia muda gani kumpata lakini miezi 2 ni mingi mno kuendelea nae nakuwa nimemchoka haijalishi kuwa tumeshachunguliana au la. Lakini mimi nakuwa sivutiwi naye kabisa

naomba wenye ujuvi na hili wanijuve kama ndio bado utoto au naumwa

Tanbihi
kama mada haijakupendeza sio lazima kuweka maoni yako, busara na hekma ni jambo la msingi kwa kila mmoja wetu karibuni
 
scorpio me

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
5,722
2,000

Ni utoto
 
miss_mbeya

JF-Expert Member
Mar 24, 2015
956
1,000
Relationships are not for everyone or it could be that you just haven't met the one for you yet.

But you're still young so you got plenty of time to play the field and figure out what and who you want.

No rush.
Naomba nipate English course kwako mkuu I salute u
 
Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
14,888
2,000
Utoto mixer uplayboy

Ama ni kama ivyo ulivyoandika hujawahi kupenda inaweza kuwa sababu pia ya kutotulia

Ukimpata unayempenda hiyo hali inaweza kubadilika
 
Queen Kan

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
3,458
2,000
Relationships are not for everyone or it could be that you just haven't met the one for you yet.

But you're still young so you got plenty of time to play the field and figure out what and who you want.

No rush.
Word
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom