UNAJIFUNZA NINI HAPA??
```Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema alilala kwa rafiki yake wa kike.
Mme akawapigia...
Natoa mfano jamani msinitafsiri vibaya kwa sababu huu mtandao unamajibu ya ajabu ajabu, Lakini ukweli njiwa ni ndege ambao wanaupendo wa dhati na ukweli.
[emoji117] Wanatembea pamoja
[emoji117]...
Msaada tafadhali.. Ikiwa umekuwa katika mahusiano na mwanaume in the first place..then kama akabadilika fulani.. Halafu ikafika mahali ukamwuliza..je hivi unanipenda au vipi? Akakujibu "hilo ni...
UWEZO wa Wanawake Kupata Mimba Washuka Tanzania
Viwango vya wanawake kuweza kupata mimba nchini Tanzania vimepungua hadi 5.2 kwa kila mwanamke nchini Tanzania mwaka 2015/2016 kutoka 6.2 kwa...
hello guys
Katika pitapita yangu ya ujana nimekuja gundua kuwa shule za girls tupu for eg narumu, or st maria gorreti, etc wanaokaa hata miezi 6 bila kumweka wanaume machoni inakuwa rahis...
mm nikijana wa miaka 23 nimepata mpenzi miez wa tatu sasa lakin mpenzi huyi akija kwangu ukimgusa anasema anaunwa lakin huwa kila anachokitaka kutoka kwangu kwa hesabu za haraka miez mitatu...
Kweli ukubwa jalala natamani nirudishe siku nyuma, huku mtoto yuko njiani, harusi michango haisomi huku ndugu wananivuruga basi majanga ya Snura.
Leo ndo nimejua kwanini Baba yangu alikuwaga...
Habari za leo waungwana,
Ninae swahiba, swahiba huyu ana mke na watoto wanne, wate wa kiume, mishahara ya serikali na kusomesha watoto pamoja na ujenzi wa nyumba, mara nyingi tunapeana ushauri...
Habari zenu wakuu,
Mimi kifupi hua najishangaa sana najiona labda niko tofauti na wenzangu, sijali hata siku yangu ya kuzaliwa na mara nyingi hua inapitiliza hata bila kujielewa sina starehe...
Habari zenu wakuu!!
tuzungumzie kumpenda aliyependwa, Kupenda hakuna macho! Moyo ukishapenda hausikii wala kuambiwa. Katika hili ndiyo maana unaweza kumuona mwanaume kazimika kwa msichana ambaye...
Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita...
kama nilivyoainisha kwenye Title hapo juu, Ndugu wanaJF napenda kuchukua fursa hii kueleza dhamira yangu mbele ya wanajamiiforum kuwa natafuta na nahitaji mpenzi wa kike mwenye umri usiozidi miaka...
Ndugu zangu wa forum naombeni ushauri,mimi ni binti wa miaka 21, niko kwenye mahusiano na mwanaume ambaye ni mchumba wangu bado ajanioa lakini tunaishi pamoja ni miaka 2 sasa na tunafanya kazi...
Vijana na wanaume huwa wanaambizana kwamba ili uhusiano udumu, usimueleze kila kitu mwanamke. Wanasema mfiche asijue kila kitu.
na Taswira hiyo pengine kadiri siku zilivyokuwa zinazidi kusonga...
Nimekua single kwa muda mrefu nimechoka naitaji kupata mwenza anaejielewa
Mi ni ke nahitaji mwanaume kwanza aishi Kanda ya ziwa nimesema hivyo sababu mimi naishi Kanda ya ziwa.
Ni mrefu kiasi pia...
Habar wanajamvi, naombeni msaada mimi kwa utafiti wangu mdogo nimegundua watu wengi hasa wanaume waliozaliwa nje ya ndoa na kulelewa na mama wa kambo hawapendi kuzaa nje ya ndoa naombeni msaada...
Habarini za mihangaiko,
Na changamoto za kimaisha wanaJF.
Napenda kufahamu, maana siku hizi wanawake wamekuwa ving'ang'anizi na rahisi kutaka kukutambulisha kwa ndugu zao au hata wazazi wao...