changu ni changu
Senior Member
- Dec 21, 2013
- 113
- 29
kama nilivyoainisha kwenye Title hapo juu, Ndugu wanaJF napenda kuchukua fursa hii kueleza dhamira yangu mbele ya wanajamiiforum kuwa natafuta na nahitaji mpenzi wa kike mwenye umri usiozidi miaka 25. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, nimemaliza Bachelor of commerce in Accounting katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM). kwa sasa nipo Kigoma nafanyia kazi NSSF. kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami kwa namba yangu ambayo ni 0766149009. Natanguliza shukrani zangu zote kwenu wanaJF wa kike.