Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, Nilimpenda sana msichana kipindi cha zamani, tukiwa form one. Dada akawa ananiletea mapozi kishenzi, tukapotezana baada ya kila mtu kwenda kusoma high level mikoa tofauti. Tumekuja...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Kwa kweli nina tatizo la kupendwa na wake za watu, na mpaka hapa nishachangia kuvunja ndoa tatu katika maeneo tofauti. Na kwa sasa kuna wawili wananiwinda kwa udi na uvumba...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Habari zenu wana jamvi, katika group letu Moja la WhatsApp nimekutana na hii mada iliyoniacha mdomo wazi. Mwana group mmoja kaomba ushauri,kila wakiwa msambwandeni kwa Fundi seremala uwanja usio...
8 Reactions
109 Replies
19K Views
Niliwahi kuwa na mpenzi wangu huko A Town, nikajikusaya mwenyewe nikaenda huko. Nimefika mtoto akawa hapatikai kwenye simu, halafu mtoto mwenyewe wa geti kali hatari sia uhakika hiyo courage...
8 Reactions
249 Replies
35K Views
Habari zenu wana JF, Mdogo wangu wa mwisho alizaliwa nikiwa na miaka 10, alipozaliwa tukafurahia ujio wa mgeni huyo lakini akaja na maajabu yake. Ikapita siku nzima bila kujisaidia, ikaja ya...
4 Reactions
33 Replies
6K Views
Ukiona umeoa mke sio bikra, tambua kwamba umeoa mpenzi wa mtu. Ila jikaze maana ukifuga nyoka ujue ipo siku atakumbuka porini.
24 Reactions
225 Replies
23K Views
Kutokana Na Malalamiko Ya Watu Wengi Kutana Kujua Sehem Inayofuata Stori Hii Nimesha andika sehem Inayo fuata pitia tena ktk Ule uzi Page ya 11 Wadau Wanao Fatilia Hii Stori Pitia Tena Ktk Ule...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Skauti. Sungu Sungu. Mgambo. Police. F.F.U. Wanajeshi. Nyuma ya Dstv Oysterbay ( Eagle Wing House ). Inasemekana kuwa hao ' Watajwa ' hapo juu ndizo ' Kada ' za Wanaume ambao ukiwa nao ' Kitaani...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wasichana wa kazi hupewa wosia toka makwao. Binti anapewa wosia kabla ya kwenda mjini kufanya kazi za ndani WOSIA WA MAMA KWA BINTI YAKE ANAYEENDA KUFANYA KAZI YA UHOUSE GIRL Mama 1. Asha...
11 Reactions
36 Replies
9K Views
Salam kwenu nduguzangu, naombeni kufunguliwa macho mana nahisi mapenz yamenifumba macho. Mimi nina mpenz wangu tuna kama 2years now,lakin miez miwili ilopta mwenzangu anabadirika na...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Kimsingi sisi tangu tulipozaliwa tulifundishwa kufikiri vibaya, kamwe hatukufunndishwa kufikiri vizuri, ndio sababu watu wengi wanaishi katika maumivu makubwa kihisia na majuto. Wapo watu ambao...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mwenye kufahamu lodge nzuri iliyopo bagamoyo mjini anisaidie kunifahamisha. Bei isizidi elfu thelathini (30,000).
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za muda huu....ndugu jamaa na marafiki....bila shaka sote tu wazima na wa afya njema....wenye maradhi Mungu muweza awajaalie uzima.....na afya.... Bila ya shaka kila mmoja amekuwa...
8 Reactions
8 Replies
6K Views
nahitaji mwanamke mkubwa kuliko mimi umri wangu ni miaka30 natafuta mwanamke kuanzia32 alie arusha mwenye kujiweza kiuchumi tasaidiana malengo afaham kuwa nna watoto wawili lengo ni maisha awe muislam
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Wanajf/Wana-MMU.. Ninawatakia sikukuu njema ya Krismas na Mwaka mpya. Tusisahauliane kwa vyuku na vinywaji. Ninawapenda sana.
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni ukweli kuwa wengi wetu tumekuwa busy kwa ajili ya kesho ambayo inaadhimishwa kama Christmass day na kesho kutwa Boxing day. Wapo walioweka tayari booking achepuke na nani,wapo pia wanaowaza...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Hi ladies, nahitaji wife umri kati ya miaka 20-30, dini yoyote ile na kabila lolote, as long as npo JF most of my time, I hope hata wife nitapata hapa hapa JF. +255621031241
1 Reactions
1 Replies
716 Views
Ndugu wamekuwa ni sehem ya kuanzisha mifarakano isiyo na tija,kusemana na kusengenyana,inasikitisha saaana,naandika kwa majonzi sababu nimepitia hii situation this year: Kuna ndugu wanaamini...
8 Reactions
57 Replies
6K Views
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 28,sijashindwa kumpata mke huko mitaani ila watu waliopo humu ni walewale waliomo mitaani, tena unaweza kukuta unaumiza kichwa binti unayemuona mtaani kumbe hata...
0 Reactions
6 Replies
839 Views
Za uck huu wana jamvi, nina demu wangu yaani haniamini, hapa tunagombana kishenzi, katoa namba yangu ya simu kwa bwanake anayesema wameachana ili anifuatilie eti kama nina michepuko. Yaani...
3 Reactions
80 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…