Kuna penzi hapa au nishaachika kitambo!?!

winy

Member
Apr 10, 2012
35
8
Salam kwenu nduguzangu, naombeni kufunguliwa macho mana nahisi mapenz yamenifumba macho. Mimi nina mpenz wangu tuna kama 2years now,lakin miez miwili ilopta mwenzangu anabadirika na sikuzinavozidi kwenda nazidi kupokea vituko,mwez flan alikua hataki labsa kufanya mapenzi na mm akidai mazoez yanamchosha sana,lakin badae akabadlika zaid akaanza kurud sa8,9,hadi sa10 usiku/alfajir na haitaji kufanya mapenz akidai anamawazo sana yanmpotezea hamu na uwezo wa kumudu tendo,,mwez kama m1 nilisafiri nikakaa wiki1 nikiwa huko nampigia simu hakuwahi pokea nimerudi nimekaa nae kama siku3 nikaona kama namkera flani..nikarudi hostel nikiwa nampigia hapokei wala hakuwa na muda wakuuliza y umeondoka au njoo home,zimepta kama wiki2 hapokei simu hapgi wala hajibu msg nikafanya kukubari kuwa nimechokwa namimi nimuache nimekaa wiki1 bila kumpgia na yeye hakujaribu kunipgia,juzi nikasema nimshitukize nikaenda kwake usiku saa4 nikamkuta kalala pekeake jana akanipgia akanambia nije tuongee tuyamalize nimefika yy kaenda kuoga nikashika simu yake naona msg za mwsanamke naemfahamu na yy ananifahamu akisema baby nahisi ninamimba,na msg za ex gal wake akisema nakupa lakini roho inaniuma bado nakuitaji,,,mwenzangu kawa mkali hatak kuongea lolote kuhusu wanawake hao,,leo kano drop hostel akanambia hatokuja kunichukua so niwahi kurud kwake mwenyewe, saa11 jion kanipigia kaniuliza nije nikuchukue sangap nikasema hata sasa mm nikotayari akadai atakuja sa2usiku mana anakazi anataka kufanya,mim roho iligoma kabsa nikacgukua tax nimekuja kwake na sijamwambia kama niko kwake nimempgia anasema kama naweZa niende kwake yeye anaratiba ndefu nikamwambia siwez basi tutaonana kesho,saiz nampgia hapokei nimempgia mwanamke aliesema anamimba nae hapokei,,na nimembana houseboy wake kasema majuz ndo alikuja na mwanamke,,,jaman nifanye nini naomben msaada wa mawazo yenu
 
mawazo ya nini tena unataka....ndo ntolee hiyo....we tafuta burudiko lingine la moyo..............
 
  • Thanks
Reactions: dtj
haya sas wazazi wenzangu!!mi huku presha inapanda presha inashuka,nilikopa benki mwenzenu lakini haya ndo nakutana nayo kila siku humu,mara vitabu vinachomwa,mara huyu sasa huwa silali hostel huku mie najua mtoto yuko chuo mweh!hapa hajaolewa anajua mpaka unyumba unatolewa kwa frequency gani,na anadai kabisa haki yake ya unyumba .binti mi sijui hata nikushauri nini!tulia mwanangu hiyo m*****o utaikuta utaitumia mpaka ikifika usiku utakuwa unanuna!hebu kazana na masomo jamani!
 
zingatia mambo yako hapo hakuna mapenzi na utapoteza muda wako tu ukimwendekeza huyo jamaa yako
 
Unauliza tena?

Yanini mtoto wa mwanamke mwnzio akuue kwa presha dada????............mmezaliwa nae?...............mpende anaekupenda, asiekupenda achana nae!
 
  • Thanks
Reactions: dtj
dah,pole mdada kumbe ulihamia kwake. ndo maana wanaume wanatudharau. yaani unaishi kwake, unyumba unampa kama mke wake, unamfulia na huduma zote unampa kama mkewe. we unadhani ataona umuhimu wa kukuoa tena. jamani kina dada wenzangu tusiwe rahisi kiasi hiki na hii inasababisha wanasema. HAINA HAJA YA KUFUGA NG'OMBE WAKATI AKIHITAJI MAZIWA ANAPATA
 
Soma kwanza wewe dogo jinga,unaharaka sana ya kuwekwa kinyumba eehh?ningekuwa nakuona ningekuchapa makofi kabisa...mjinga wewe..
 
haya sas wazazi wenzangu!!mi huku presha inapanda presha inashuka,nilikopa benki mwenzenu lakini haya ndo nakutana nayo kila siku humu,mara vitabu vinachomwa,mara huyu sasa huwa silali hostel huku mie najua mtoto yuko chuo mweh!hapa hajaolewa anajua mpaka unyumba unatolewa kwa frequency gani,na anadai kabisa haki yake ya unyumba .binti mi sijui hata nikushauri nini!tulia mwanangu hiyo m*****o utaikuta utaitumia mpaka ikifika usiku utakuwa unanuna!hebu kazana na masomo jamani!

Mzazi wangu wewe jaman unalia hivo hapa yeye ndo analipa ada na wewe unajua ungekuwa unalipa wewe leo siungekua msiba jaman,yeye ndo ananilipia ada jaman
 
  • Thanks
Reactions: dtj
dah,pole mdada kumbe ulihamia kwake. ndo maana wanaume wanatudharau. yaani unaishi kwake, unyumba unampa kama mke wake, unamfulia na huduma zote unampa kama mkewe. we unadhani ataona umuhimu wa kukuoa tena. jamani kina dada wenzangu tusiwe rahisi kiasi hiki na hii inasababisha wanasema. HAINA HAJA YA KUFUGA NG'OMBE WAKATI AKIHITAJI MAZIWA ANAPATA

Hapana nduguyangu si play part ya mke mana sifui sipki nashinda hostel ila kulala ilikuwa ni kawaida lazma nilale kwake,,hata nikikaa wiki sifanyi mambo ya mke
 
dada pole sana,
sasa unataka tukupe moyo kuwa vumulia tu!!!!

sasa leo atakuja na mtu mwingine akijua ww upo hostel.

ushauri, tuma sms kuwa upo kwake vinginevyo kesho tutakuja kuuaga mwili wako motuary coz utakufa kwa presha.
 
Uko chuo gani Mungu wangu ambako hata logic ndogo kabisa hawafundishi?
e ila
Umekuta msg za wanawake zaidi ya mmoja, na mwingine imeshakatikia kabisa, kwako akija hakuna kinachoendelea sasa unataka uone nini ili ujue kuwa sasa kinachoendelea kwako kutoka moyoni kwake?

Kama unaweza kumvumilia ukiwa na matumaini anaweza kubadilika sawa endelea kuwa nae ila umuambie kuwa unajua kila kitu na unamuomba abadilike maana hali mbaya siku hizi, ile kitu imekuwa nyingi kweli kweli! La kama una moyo mgumu kidogo basi kubali matokeo, anza upya by the way bado ni mdogo wewe (Upo chuo umesema! japo kuna kuwaga na wazee vyuoni) utapata tu mwingine atakupenda kwa dhati na utafurahia mapenzi
 
Hapana nduguyangu si play part ya mke mana sifui sipki nashinda hostel ila kulala ilikuwa ni kawaida lazma nilale kwake,,hata nikikaa wiki sifanyi mambo ya mke
kwan mnalala mzungu wa 4?
hayo mengine anaweza fanya hata mama yake, ila kama anakuvua ile nguo ndogo bas ww unaplay
 
ulikuwa unaishi naye!
alikuomba ukaishi naye au ulijipeleka? wazazi wako wanajua kuwa unaishi na mtu huko shule? nani analipa ada/ hostel? kua kwanza, mengine yatakuja tu muda ukifika
 
Snowhite unacheza na kuhudumiwa...si unaona anauliza kama ameshaachika wakati hata kuolewa hajaolewa.
Watu hawatoi pesa zao bure...huu ni utumwa aisee. Na kwa nini kijana aoe wakati anapata sex kwa frequency sawa na wenye wake?

Back
Top Bottom