Msaada : Lodge nzuri Bagamoyo

Msaada : Lodge nzuri Bagamoyo

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
623
Reaction score
268
Jamani mwenye kufahamu lodge nzuri iliyopo bagamoyo mjini anisaidie kunifahamisha. Bei isizidi elfu thelathini (30,000).
 
naona unataka kuwahi chumba mapeeema hadi kesho asubuhi tena mda kama huu hela iende kihalali mkuu...[emoji38]
 
naona unataka kuwahi chumba mapeeema hadi kesho asubuhi tena mda kama huu hela iende kihalali mkuu...[emoji38]

Hahahahaaa mkuu si unajua tena mambo ya picnic.? Siyo kwa leo hii, nahitaji kwenda kesho. So sitaki kuwa mgeni.
 
Barcelona lodge ipo Mangesani Mange Town. Mita kadhaa kutoka stand kuu.
 
Mungu anakuona mkuu..... Ha haaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom