Mnao ajiri house girl (wasichana wa kazi) mnayajua haya?

mtunzasiri

JF-Expert Member
Dec 24, 2012
1,446
985
Wasichana wa kazi hupewa wosia toka makwao.

Binti anapewa wosia kabla ya kwenda mjini kufanya kazi za ndani

WOSIA WA MAMA KWA BINTI YAKE ANAYEENDA KUFANYA KAZI YA UHOUSE GIRL

Mama 1. Asha mwanangu umepata bahati ya kwenda mjini sasa lazima utubadilishie maisha wazazi wako ucpofanya tunayokuambia utaishia kurudi kijiji kulima.

Mama 2
Ww ndo mke halali wa bosi wako kwahiyo ukifika uko chakarika mwanangu umpate mumeo, hakikisha kazi zote za mke unazifanya mtengee maji ya kuoga, mfulie na kunyoosha nguo zake, mpe pole hatakama katoka kuoga, mwambie maneno laini

Mama 3
Wanawake wa mjini wavivu akipata mimba tu anaenda kwao wngne hawataki hata kuguswa na waume zao mwanangu huo ndo wakati wakumpata mumeo hakikisha unampa haki zote za mume tumia ujuzi wote wa jandoni ili umpate.

Mama 4
Wagombanishe kwa nguvu zako zote mfano siku mke akipika wewe vizia utie chumvi nyingi ili tu mume aone wewe ni bora kuliko mkewe.

Mama 5
Ukifika mjini hakuna mwanaume wa kukuoa zaidi ya boss wako au mwanae sasa kajikute mpole utarudi kijijini umezeeka na wenzio wote utawakuta wameolewa.
 
Mheshimiwa mleta mada...Nimekusoma kwa kina nikagundua yafuatayo... kwamba unaweza kuwa kati ya:

1. Dada zako wengi ni maosigelo, yawezekana ulisikia mama zako wakiwaasa...
2. Wewe ni osigelo, unatuambia uliyoambiwa na mama zako...

Kama wewe si miongoni mwa 1 au 2 basi utakuwa mwanaume mbea... Unasikiliza maneno ya wanawake afu unayaleta barazani.

Nakushauri usiwashushie wanawake heshima namna hiyo... kwa maana hapa umewatukana maosigelo na wakati huohuo umewatukana wanaokaa na maosigelo pamoja na waume zao.

Lengo la hii post yangu ni kukuambia neno moja tu... Dogo, shika adabu yako!!

Tafsiri: Osigelo = house girl (ambaye anaweza kuwa dada yako, binti yako, binamu yako, mpwa wako au mjukuu wako)
 
Tafsiri: Osigelo = house girl (ambaye anaweza kuwa dada yako)
Hivi hiyo dawa bado ipo tuu!!? By the way be thankful sometimes nimewatahadharisha tuu maana visa vya house girl vimezidi siku hizi
 
Kwa ushauri wako ni kwamba hao wadada wa ndani hawafai kuajiriwa au?? Hizo kazi za nyumbani tuzifanye sisi wanaume au?? Sikukuelewa vizuri. Mbona nimekaa na huyu hapa sijauona mchezo huo ulosema au miye ndo sura mbaya?
 
Hivi hiyo dawa bado ipo tuu!!? By the way be thankful sometimes nimewatahadharisha tuu maana visa vya house girl vimezidi siku hizi
Inawezekana ni madhara ya dawa... ila mkuu usipende kujenerolaiz. Thread yako iko kama vile maosigelo wote wanaambiwa hayo uliyosema. Haimpendezi Mungu, mbinguni na duniani.

Sio maosigelo wote wanapenda kufanya kazi hii... kiasi kwamba wakae kitako wasikilize mawaidha uliyotuambia. Wengi wao ni shida za maisha... wanatafuta namna ya kutoka kimaisha...

Mimi, kwa niaba ya dawa zote tumesikitishwa sana. Na ukifanya masihara hatutakutibu.

Nimemaliza
 
Mbona mnakimbilia kwa ma house girl tuu vipi hao wake zenu hawasababishi hayo kweli , mfano hiyo wosia namba tatu3 vipi.
 
Wasichana wa kazi hupewa wosia toka makwao......

Binti anapewa wosia kabla ya kwenda mjini kufanya kazi za ndani

WOSIA WA MAMA KWA BINTI YAKE ANAYEENDA KUFANYA KAZI YA UHOUSE GIRL.

Mama 1. Asha mwanangu umepata bahati ya kwenda mjini sasa lazima utubadilishie maisha wazaz wako ucpofanya tunayokuambia utaishia kurud kijiji kulima

Mama 2
Ww ndo mke halal wa boc wko kwahiyo ukifika uko chakarika mwnang umpate mumeo,,,hakikisha kaz zote za mke unazifanya mtengee maji ya kuoga,,mfulie na kunyoosha nguo zake,,mpe pole hatakama katoka kuoga,,mwambie maneno laini

Mama 3
Wanawake wa mjini wavivu akipata mimba tu anaenda kwao wngne hawatak hata kuguswa na waume zao mwanangu huo ndo wakat wakumpata mumeo hakikisha unampa haki zote za mume tumia ujuz wote wa jandon ili umpate

Mama 4
Wagombanishe kwa nguvu zako zote mfn siku mke akipika ww vizia utie chumvi nyng ili tu mume aone ww ni bora kuliko mkewe

Mama 5
Ukifika mjini hakuna mwanaume wa kukuoa zaidi ya boss wako au mwanae sasa kajikute mpole utarud kijijin umezeeka na wenzio wote utawakuta wameolewa
je akiwa house boy anaambiwa nini na baba ake?
 
Mheshimiwa mleta mada...Nimekusoma kwa kina nikagundua yafuatayo... kwamba unaweza kuwa kati ya:

1. Dada zako wengi ni maosigelo, yawezekana ulisikia mama zako wakiwaasa...
2. Wewe ni osigelo, unatuambia uliyoambiwa na mama zako...

Kama wewe si miongoni mwa 1 au 2 basi utakuwa mwanaume mbea... Unasikiliza maneno ya wanawake afu unayaleta barazani.

Nakushauri usiwashushie wanawake heshima namna hiyo... kwa maana hapa umewatukana maosigelo na wakati huohuo umewatukana wanaokaa na maosigelo pamoja na waume zao.

Lengo la hii post yangu ni kukuambia neno moja tu... Dogo, shika adabu yako!!

Tafsiri: Osigelo = house girl (ambaye anaweza kuwa dada yako, binti yako, binamu yako, mpwa wako au mjukuu wako)

Babu asprin
naona unatafuta kick tu hamnajingine ili watoto wazuri waone hii nyota ya mamajusi
 
Nitake radhi kijana. Na umri huu nitafute nini ambacho sijawahi kupata?? Muda huu niko bize nalea wajukuu (labda unaweza kuja kuleta posa kwa mjukuu wangu) huo muda wa kutafuta warembo ntautoa wapi?? Yani na umri huu nawezaje kupishana gesti na vijana???

Nitake radhi kabla hujapata laana. Imeandikwa waheshimu wazazi...

Ila ikitokea la kutokea na nikiamua, naweza kukuchukulia mpaka mchumba wako. Mimi si mtu wa kispotispoti.
 
hahahahah babu unajuaga post zako tata sana mpaka najiulizaga, huyu babu yangu kweli kazeeka au babu wa bombadia Q 400 new generation

samahani babu

kidole kiliteleza
 
Umenena neno la busara, enenda kwa amani kijana wangu.
 
Back
Top Bottom