1. Anayejali watu wa nyumbani mwake, hutunza siri siyo kutapanya nje maneno ya ndani na kila mtu anajua, huomba ushauri kwa wazee na si kwa vijana ambao wao siku zote hufikiri kuharibu
2. Humpa...
Tarehe kama ya leo miaka minne iliyopita nilipokea taarifa ya huzuni sana kutoka kwa mtu wangu wa karibu kuwa i have to be strong kwa taarifa atakazonipa, mwisho akamalizia kwamba mpenzi wako...
HELLO WANA MMU
kwa zaidi ya siku mbili tatu nimekuwa nawaza sana mara baada ya mmoja wa michepuko yangu hapa chuoni kunibadilikia ghafla bila sababu yoyote ya msingi.
Nilikuwa namtumia meseji...
Hatimaye wanasayansi wagundua tena tiba/Chanjo ya UKIMWI hivyo sasa hivi ni full kujiachia
Hatimaye wanasayansi wagundua tena tiba/Chanjo ya UKIMWI hivyo sasa hivi ni full kujiachia
Wakuu wa nchi,
Natumaini mnaendelea vizuri na huu mwendo kasi wa mheshima. Wakuu wa nchi kwa wale wanaosafiri kwenda nchi za Ulaya na North America watakaohitaji wasichana wa kizungu na wanaume...
Kwa wale wanawake wenye tabia ya kusema hawataolewa na mwanaume suruali ambaye hana pesa basi kazi wanayo maana takwimu zinaonyesha kuwa takribani asilimia themanini ya wanaume wenye mafanikio...
Habari za wikiendi
leo nipo tu nyumbani baada ya jana ijumaa kunywa bia za kutosha. sasa shemeji yenu(sina uhakika sana) alikuwa anafanya fanya usafi mimi huku nikiwa nimelala. baada ya...
Hellow jf,ni siku chache tu tumetoka maliza mwaka wa 2016 embu niambie kwa mwaka ulopita nani hero wako na kwann?me binafsi my mummy ndo my hero kwa last year.
Huku ukijifanya kututambia " Masela " Kitaani na ukijishebedua kuwa Mkeo anayefanya Kazi katika Kampuni X huko Mjini kuwa " hakusaliti " eti kwakuwa tu asubuhi huwa unampeleka Kazini mwenyewe...
Habari za wakati huu wanajf....!
Last week nilipost thread....ya kuwa sijawahi.....kuridhika ktk kusex......
Sasa yamekua mengine... Ni siku mbili zimepita baada ya kikao cha boma kukaa na...
Mara nyingi wengi wetu tumekuwa katika mahusiano na wapenzi wetu lakini hali sio kama ile ya awali wakati mnaanza mapenzi yenu. Wanawake wengi wanalalamika kuwa hawaoni upendo ule waliouzoea...
Wadau naomba niwashirikishe kidogo kwa muda mrefu nimekua kwenye dillema ya mahusiano nipo katika mahusiano na wadada watatu tofauti.Umri unaenda na ninatakiwa nioe mmoja kati yao..Wa kwanza she...
Bwana Yesu asifiwe,
Kuna aina kuu 2 za uzazi wa mpango unaokubalika na MUNGU.
Na aina izo ni kutokana na makundi mawili::
1. Uzazi wa mpango kwa mabinti wasioolewa.
2. Uzazi wa mpango kwa walio...
Kiss (Busu) sio kwa mpenzi tu pekeake tumeona wazazi wakiwaaga watoto wao kwa kuwakumbatia na kuwabusu, iwe ni shavuni, kwenye paji la uso au mdomoni kwa baadhi ya wazazi.
Yapo mabusu mengi ila...
Hakuna mwenye moyo ambaye anafurahishwa na maumivu katika mapenzi. Hapa nazungumzia usaliti, unyanyasaji, masimango na mengine mengi katika uhusiano wa kimapenzi.black-couple00
Wapo watu ambao ni...