Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Leo mbulukenge sasa kwenye hot chair. nahitaji mwanamke wa kuoa. SIFA ZAKE. awe..... mpole mchamungu sibagui dini. mrembo wa tabia na sura elimu yoyote mjasiriamali au muajiriwa ni hivo tu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
MALEZI kwa watoto ni kazi ngumu sana licha ya kwamba yaweza kuwa rahisi kutokana na jinsi utakavyoichukulia. Kumbuka jinsi unavyomlea mwanao ndivyo atakavyokuwa katika maisha yake hivyo ni vizuri...
6 Reactions
25 Replies
13K Views
Sikuzote kumuita msichana Demu huwa siwezi, na hili neno kulitamka kwenye kinywa changu ni zito sana kwakweli. Na kwa nilivyokuwa nikidhani hapo awali nilikuwa najua kama kunmuita msichana demu ni...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
hivi hawa jamaa wanatushinda kweli? Hebu tuacheni umburulaa, wanatufanyia mambo ya kipuuzi tunawaangalia u! Never and never again!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jana nikiwa ktk kijiwe fulani nikicheza drafti alikuja kijana mmoja hivi nimemsahau kwa jina. Akadai kwamba anampenzi wake ambaye bado ni mwanafunzi wa secondari na kwamba wameanza nae mahusiano...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wapendwa wana Jf poleni na majukumu, nikawa nimekaa mahali napunga kaupepo, huku nikiishuhudia Jumapili inavyo yoyoma, na hatimae watakao amka salama hususani sisi wakazi wa, asubihi kuanza...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakati mwingine maisha ya ndoa hayaitaji usanii hata kidogo maana ndoa ukicheza nayo lazima ikupwelepwete tuu.Kabla ya kuamua kuishi na mtu tafakari na ujiulize hivi niko tayari kupambana na...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Umewahi kulazimisha kupendwa? Matokeo yake yalikuwaje? Yawezekana ulilazimisha na kweli utafanikiwa akakubali kuwa na wewe ila ndani ya huyo mtu kuna mtu mwingine anaishi na sio wewe. Kuna...
3 Reactions
1 Replies
275 Views
DADA ZANGU,MWANAUME WA KWELI MJINI NI KAZI YAKO, MAKOSA WANAYOFANYA WANAWAKE KUANZIA MIAKA 20-28 na 28-35 KABLA NA BAADA KUOLEWA. samahani lakini Kuoa au kuolewa siyo LAZIMA japo kuoa au kuolewa...
6 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari wana JF, Kama kichwa cha Habari hapo juu kinavyosema. Nina rafiki yangu kiumri tunafanana japo sio rafiki kihivyo, pia tulikua majirani lakini kwa sasa nimehama kwa kero za Mama yake...
6 Reactions
77 Replies
15K Views
Wadau, Mimi leo ni mara ya kwanza kutembelea Nchi hii maridhawa kabisa ya Maj. Gen. PK. Kama yupo "Mswahili"mwenzangu ambaye yuko huku naomba tuwasiliane angalau kupata uenyeji wa kutembea...
1 Reactions
2 Replies
410 Views
Kama mada inavyojieleza Baada ya kuchoka kuishi peke yangu nikaamua kutafuta binti wa kuishi nae ni mrembo wa 2005 Mwanzo naanza kuishi nae alikua na kamwili fresh kadogo dogo laini tumbo flat...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Nianze kwa kukili kuwa kwa nyakati tofauti nimetoa ushahuri kwa watu mbali mbali ,kulingana na ushahuri uliokuwa unahitajika na hii inachangiwa zaidi na nature ya kazi yangu kwani nimezungukwa na...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Very sad,amekuwa akiweka ujumbe wa ajabu ajabu kwenye wall yake ya Facebook, na sasa hii ndio profile picture yake. Hii amenza kufanya kama miezi miwili na nusu nyuma, na mbaya zaidi ni kwamba...
8 Reactions
126 Replies
14K Views
Habari zenu. Naomba kuuliza, mara nyingi watu wamekuwa wakimshambulia mleta habari kama ile habari inamuhusu.Hii imekuwa inamkatisha tamaa. Mleta habari,hasa huku MMU utakuta wanamsimanga...
2 Reactions
56 Replies
4K Views
Yes atarudi kwako Yes atazaa watoto Ataitwa mama fulani Lakini huyo si mke wako. Wewe umeshindwa kumpa mahitaji yake muhimu mpaka ameamua akaajiriwe. Hata kama ulimkuta ameajiriwa kama huduma...
8 Reactions
74 Replies
3K Views
Sijasema haya kwa muda mrefu. Wala sijui nitakavyoeleweka. Lakini najua si mimi peke yangu. Kuna wanaume wengi tuliokaa kimya, si kwa sababu hatuna la kusema, bali kwa sababu tumezoea kwamba...
4 Reactions
6 Replies
876 Views
Binafsi nipo kwenye ndoa takribani miaka mine na tumebarikiwa watoto wawili. Changamoto zilianza mke alipohamishwa kikazi mwaka juzi kutoka Dar kwenda Morogoro. Kutokana na ukaribu nikawa...
76 Reactions
477 Replies
42K Views
Huko nyuma nilifanyaga mistake nikajikuta nimemla mke wa mtu bila kutarajia,nimejifunza tuu kuwa kama umewahi kutembea na mwanamke kumrudia Tena ni swala la kugusa tuu.Basi baada ya tukio Hilo...
1 Reactions
3 Replies
500 Views
Nimewahi kutembea na mke wa askari ila ni kwa kutokujua mana mwanamke alinificha kwamba hana mtu nilipogundua nikapiga chinii
2 Reactions
138 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…