Wife material is needed

Mbulukenge

Senior Member
Jun 26, 2019
131
305
Leo mbulukenge sasa kwenye hot chair.
nahitaji mwanamke wa kuoa.
SIFA ZAKE.
awe.....
mpole
mchamungu
sibagui dini.
mrembo wa tabia na sura
elimu yoyote
mjasiriamali au muajiriwa
ni hivo tu wanajamii
Aya wadada mjimwage pm na photos zenu.
KARIBUNI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom