Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Watu wengi hivi sasa wameshaumizwa sana kwenye mahusiano mpaka wengine wamejenga chuki, kinyongo,hisia za kisasi dhidi ya wanaume au wanawake wote ulimwenguni. kutokana na matukio hayo...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeachana na mpenzi wangu baada ya yeye kutoka kimapenzi na rafiki yangu na nilimuahidi sitalipa kisasi kwa rafiki yake wala ndugu yake yoyote ila ni lazima nitembee na baba yake ili heshima...
11 Reactions
211 Replies
22K Views
Kuna kesi nimeletewa na rafiki yangu wa karibu sana kuhusu mahusiano yanayoendelea kati yake na mpenzi wake, hivyo anaomba ushauri kutoka kwangu. Kaniambia kuwa katika mahusiano yao, wamedumu kwa...
1 Reactions
80 Replies
7K Views
Hivi kuna sababu gani za kupost/kuweka picha za watoto wetu mitandaoni? utakuta wa kike kawekwa na maneno ya kumpamba kama beautiful/cute/queen/mrembo wangu. Wakiume: HB/ Prince /kidume changu...
35 Reactions
256 Replies
28K Views
Kwanza nipende kuwapongeza mno na kuwasifia sana wale woote ambao huzifanya bedroom zao sehemu za kuvutia mno, ambapo hata mwenzi wako aingiapo pamoja na uchovu wote hupata mandhari tofauti na...
7 Reactions
83 Replies
7K Views
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu. Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya...
94 Reactions
2K Replies
171K Views
Habari za leo wapendwa, Hii story nimepewa na swahiba wangu ambae anafanya kazi na kuishi Dar, nitampa jina la Samson katika story hii. Samson ana umri wa miaka 35+ hajaoa, ni mfanya kazi katika...
8 Reactions
78 Replies
8K Views
ilikua saa sita na nusu mchana siku ya Ijumaa......nipo nyumbani baada y akutoka kufundisha Tuisheni mbali kidogo na nyumbani........unaikumbuka likizo ya Mkapa enzizile ukimaliza form 6 unakaa...
4 Reactions
29 Replies
6K Views
Wakuu,mimi nina tatizo moja,chumba changu ni self{yani kina choo na bafu humo humo}tatizo ni kwamba,huwa siwezi kukata gogo mbele ya mpenzi wangu,lakn mwenzangu yeye naona hata huwa hajali,anaweza...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Wadau natumaini mu wazima Mi ni mjasiriamali toka Arusha but huwa nakuja Dar kwa ajili ya kuchukua bidhaa, nikiwa Dar napenda kujibururdisha ama MEEDA au KONA BAA/AMBIANCE AFRIKA SANA huwa...
15 Reactions
270 Replies
61K Views
By: Msela wa Kitaa (Senior) Twende polepole... Hebu fikiri hivi: Demu anakutana na jamaa anayejua kuvaa, ana kazi, ana ka-swag, hata hajui kama huyo jamaa analala gesti au anaishi kwa shangazi...
2 Reactions
10 Replies
754 Views
Kuanzia utotoni na hadi maisha ya shule nimekua katika hali ya kuyapeleka maswala yangu haraka haraka kadri ninavyotaka mimi. Katika style hiyo ya maisha imenipa faida na maendeleo mazuri. Lakini...
4 Reactions
51 Replies
8K Views
Jamani hali ni tete tuna harusi bajeti yake 16 M, shughuli bado mwezi mmoja kuna cash, Laki 7, watu hawahudhurii vikao ni wanne au watano, kila mtu anatoa hudhuru amebanwa na shughuli fulani...
6 Reactions
102 Replies
9K Views
Habari wapendwa katika bwana, Nimeishi na mke wangu kwa miaka mitano tukiwa na amani na furaha, lakini upendo ulianza kulegalega kuanzia mwaka jana mwezi wa kumi na mbili pale ambapo uume wangu...
2 Reactions
111 Replies
30K Views
Ni kawaida kukutana na mtu mwenye meno ambayo yameharibika rangi kwa kubadilika kutoka kuwa meupe na kuwa ya kahawia huku ambapo chanzo kinatajwa kuwa aina ya maji ambayo mtu huyo amekua...
1 Reactions
79 Replies
18K Views
Wakuu, Kuna utafiti nimeufanya ambao umenishangaza kidogo, wanawake wengi wakipenda kulala upande wa ukutani wa chumba. Sasa nimekosa majibu yenye kueleweka yanayowafanya wao wapende kulala...
2 Reactions
87 Replies
18K Views
Yawezekana kweli hawataki kuikailia ila pia yawezekana yenyewe ndio haitaki kukaliwa hivyo ukiona siti iko wazi usikurupukie . Mganga anakwambia atakupa utajiri wa mabilioni jiulize kwanza...
3 Reactions
4 Replies
421 Views
Mini huwa nakerwa sana na mademu ambao huwa wana act kuongea broken English wakati wa kufanya mapenzi, kwanini ? Kwani hamfahamu kuwa mimi nimekupenda wewe kama wewe na hiyo rafudhi yako ya...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…