Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
Za sa hivi ndugu zangu.
Wengine tumekuja Dar kwa sababu imetokea tuu na sio wenyeji.
Najua kuna watu wapo Dar enzi zile bahari ipo hadi buguruni au kabla chips hazijaja na wengine tumekuja juzi lakini tunajua kila kitu.
Mimi napenda kuuliza,bar gani,kiwanja gani,ukumbi gani au sehemu gani ni nzuri leo kwenda na babe.
Maana tunaweza umbuka wengine. tusaidiane wadau.
Happy valentine day to you all