Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tunaishi kwenye ulimwengu ambao tuna wanawake wanaoamini wana machaguo ya wanaume yasiyokuwa na mwisho. Wanascroll from from left to right wanapopata connection za ukweli za kimahusiano sababu ya...
1 Reactions
12 Replies
458 Views
Muafrika na ngono: Unakuta Mtu anahangaikia mtalimbo wake kuliko maisha yake. Anaishia kula sumu za kumuathiri taratibu kwa vitu ambavyo ni asili kwa mwanadamu kumtokea. Vagina haijawahi...
7 Reactions
16 Replies
958 Views
Toka kw pm yangu jamani dah.. Mwaka jana dada yangu alikuja kumtambulisha mwanaume wake, akatoa mahari na mipango ilikuwa ni kufunga ndoa mwaka jana hiyo hiyo mwezi 6. Mimi kipindi hicho nilikuwa...
7 Reactions
52 Replies
3K Views
Hivi haiwezekani kuwa na mpenzi mkakaa naye hata miaka mitano bila mis za understandin..... Uzoefu wangu kwenye mahusiano unatosha kuandaa riport ya PHD,lakini huwezi amini sijayazoea...
1 Reactions
59 Replies
6K Views
Habari za jioni wana JF, Napenda kutoa pole kwa mihangaiko ya siku nzima kwa wana JF wote. Najitokeza hapa kwa lengo la kupata Sex partner ama waweza ita friends with benefits. Sifa kuu asiwe mtu...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Nina uhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu.Kipindi tunaanza uhusiano nlikuwa sijui kama ni mke wa mtu na yeye alinificha lakini nmekuja gundua ni mke wa mtu na nataka nimteme,tatizo sasa demu hataki...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Jambo la wanawake kuwa na vitambi limeanza kukera mno. Zamani ilijulikana kuwa wanaume ndio huwa na vitambi, kitu ambalo sasa limebadilika. Ukifanya utafiti utagundua kuwa wanawake wengi wana...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Wakuu habari zenu... Kwa mara nyingine tena naomba tushirikishane kimawazo maana kichwa changu kwa sasa kimeishia hapo kwenye heading. Mnakumbuka thread yangu ya kitambo niliyoweka kwa headibg ya...
0 Reactions
114 Replies
10K Views
Jikiteni sana katika kutusoma na kutuelewa Wanaume kwani nimegundua 85% ya Wanawake huwa mnakurupuka sana katika kuwa nasi Kimahusiano na matokeo yake tukija kuwapigeni Matukio mnaanza kukimbilia...
0 Reactions
3 Replies
421 Views
Amani iwe nanyi nyoote! Jamani,hivi ni kwanini JF mko hivi!? leo mtu analeta mada yake,wengine wanaanza kuponda kuwa ni utoto au ufinyu wa mawazo. Kesho,huyo huyo mtu aliyeponda na kukandia mada...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Asaalam, karibu katika mahojiano ya moja kwa moja hapa JF. Mhojiwa leo ni mshana jr mimi mwanzisha uzi ndiye Host. Labda niseme tu leo mshana jr atahojiwa kila kitu, hasa kipaji chake...
33 Reactions
505 Replies
76K Views
Ni kisa cha kweli alinisimulia mtu mmoja tulikutana kwenye basi natoka Dar kwenda Moro. Akasema kaka yake alikuwa na rafiki waliyependana sana lakini kwa bahati mbaya kumbe yule rafiki alikuwa...
10 Reactions
145 Replies
12K Views
Habari zenu wanajamii forums. Naomba ushauri kwenye hili. Nimekuwa kwenye ndowa miaka kumi na moja. Mimi nilichelewa kuowa sasa nina Miika 45 . Huyu mke wangu kusema kweli hakuwahi kunivitia...
27 Reactions
100 Replies
5K Views
Kuna baadhi ya watu huja kwenye maisha yako kama zawadi... lakini wengine huja kama darasa la maumivu. Na darasa hili lilinifundisha kuwa… mapenzi si ya waliokomaa tu, bali ni ya waliovunjika na...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Mlio single muwe mnalala mapema mnafanya network inakuwa nzito.
4 Reactions
12 Replies
711 Views
Hii imetokea wiki kadhaa zilizopita. Kijana mmoja jirani yangu ana rafiki yake. Walikuwa wanasoma pamoja. Ni marafiki wakubwa ambao hata wazazi wanajua. Walikuwa wanasoma pamoja na kushirikiana...
8 Reactions
150 Replies
18K Views
Wadau nina rafiki yangu mkubwa sana ambaye nimejua kuwa kwa sasa anatoka na aliyekuwa girlfriend wangu ingawaje wenyewe wanafanya siri sana.,hii imekaaje?.,inamaanisha kuwa hata enzi zile mapenzi...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Siku moja mama aliniita alikuwa amekaa na baba ukumbini. Kilikuwa kama kikao cha dharura hivi. Mama akafunguka maswali yafuatayo. Hivi mwanangu mbona sijawahi kuona, wala kusikia hata kidogo kama...
12 Reactions
86 Replies
14K Views
Wakuu Kwa masikitiko makubwa sana naleta huu uzi hapa jamvini. Nimemtembelea rafiki yangu ambae aliniambia yuko likizo nyumbani kwao,sasa nimefika nikapiga hodi hakuna aliyeitikia,nikaamua kukaa...
32 Reactions
126 Replies
9K Views
Back
Top Bottom