Kwanza niombe radhi kuwa sina nia ya kumnyanyapaa mtu yeyote kwa jinsia yake, rangi yake, kabila lake wala dini yake.
Nimekua nikiona hii dhana ya kuwapo kwa mikosi inayotokana na kulala na mwanamke. kwa mfano katika mipira ya mchangani siku ya match watu walikuwa wakihimizana kutokulala na mwanamke na pale ambapo tulifungwa na kugundulika kuwa mmoja wetu kalala na mwanamke basi lawama zote humuendea.
Babu yangu alikuwa na wake wawili. Lakini siku ambayo kesho yake alikuwa na agenda muhimu alilala chumba chake peke yake. Kwani kila mwanamke alikuwa na chumba chake na pia alikuwa na chumba chake mwenyewe.
Baada ya kufika mjini pia hii dhana nimeikuta. iwe ni katika biashara au kazi au kitu chochote muhimu utasikia watu wanakwambia usichukue mwanamke. na pale ambapo mambo yanaenda ndivyo sivyo utasikia watu wanahoji huyo mwanamke uliye lala naye anagundu.
Mimi sito msomaji wa vitabu vya dini lakini mtu mmoja alinibia dhana hii ina chimbuko kwenye biblia hasa agano la kale na kwenye korwani pia.
Kwayeyote anayefahamu tafadhali tuelimishane.