Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa wale wataalamu wa maneno Hebu tusaidiane ni maneno Gani ukimwambia mtoto wa kike au kiume akiwa kama mpenzi yakamfanya moyo wake usisimke na kukupenda zaidi. Kama unayo hebu tupia maneno...
3 Reactions
71 Replies
17K Views
Habari wakuu, Mimii ni kijana wa miaka 23, nimemaliza kidato cha sita mwaka huu, tangu nianze masomo yangu kidato cha kwanza, mke wa baba yangu mdogo ananinyanyasa sana, na nilikua nasikiaga...
1 Reactions
70 Replies
7K Views
Nilikuja kuomba ushauri humu kwa wakuu, ila nashukuru sana uwepo wa jamii forum Kijana ukitumia jamii forum kama Muongozo wa maisha Yako basi huwezi kufanya makosa ambayo wengine wanafanya. Watu...
13 Reactions
121 Replies
4K Views
Habarini, watu hudhani wanapofika kilele cha mapenzi na upendo moto moto basi hali hiyo itadumu mpaka mwisho wao ila ukweli mchungu ni kwamba mkishafika stage hiyo mna machaguo mawili tu...
1 Reactions
3 Replies
267 Views
Hello habari, nina changamoto kidogo naomba msaada, mwaka jana mwezi wanane nilikutana na mwanamke na nikaanzisha naye mahisiano na sababu ilo fanya mahusiano yaendelee alipodai kuwa anaujauzito...
4 Reactions
5 Replies
506 Views
Wakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa. Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha. Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga...
9 Reactions
145 Replies
9K Views
Wasalam wana jamvi, kuna washikaji wawili wamehamia mtaani kwetu hapa Maguruwe hivi karibuni jamani wanamaliza wake za watu acha kabisa, nasikia hawa jamaa wametahiriwa na wamasai huko Arusha...
0 Reactions
58 Replies
17K Views
Nimekwambia hapa hatoki mtu na kama utaniacha basi hutokuja kuoa mwanamke mwingine nife leo nife kesho,Hayo ni maneno ya mke wangu. Ilikuwa ijumaa tulivuu tukiwa hotel ya Wanyama Sinza baada ya...
15 Reactions
122 Replies
16K Views
Tunaishi kwenye ulimwengu ambao tuna wanawake wanaoamini wana machaguo ya wanaume yasiyokuwa na mwisho. Wanascroll from from left to right wanapopata connection za ukweli za kimahusiano sababu ya...
1 Reactions
12 Replies
458 Views
Muafrika na ngono: Unakuta Mtu anahangaikia mtalimbo wake kuliko maisha yake. Anaishia kula sumu za kumuathiri taratibu kwa vitu ambavyo ni asili kwa mwanadamu kumtokea. Vagina haijawahi...
7 Reactions
16 Replies
959 Views
Toka kw pm yangu jamani dah.. Mwaka jana dada yangu alikuja kumtambulisha mwanaume wake, akatoa mahari na mipango ilikuwa ni kufunga ndoa mwaka jana hiyo hiyo mwezi 6. Mimi kipindi hicho nilikuwa...
7 Reactions
52 Replies
3K Views
Hivi haiwezekani kuwa na mpenzi mkakaa naye hata miaka mitano bila mis za understandin..... Uzoefu wangu kwenye mahusiano unatosha kuandaa riport ya PHD,lakini huwezi amini sijayazoea...
1 Reactions
59 Replies
6K Views
Habari za jioni wana JF, Napenda kutoa pole kwa mihangaiko ya siku nzima kwa wana JF wote. Najitokeza hapa kwa lengo la kupata Sex partner ama waweza ita friends with benefits. Sifa kuu asiwe mtu...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Nina uhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu.Kipindi tunaanza uhusiano nlikuwa sijui kama ni mke wa mtu na yeye alinificha lakini nmekuja gundua ni mke wa mtu na nataka nimteme,tatizo sasa demu hataki...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Jambo la wanawake kuwa na vitambi limeanza kukera mno. Zamani ilijulikana kuwa wanaume ndio huwa na vitambi, kitu ambalo sasa limebadilika. Ukifanya utafiti utagundua kuwa wanawake wengi wana...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Wakuu habari zenu... Kwa mara nyingine tena naomba tushirikishane kimawazo maana kichwa changu kwa sasa kimeishia hapo kwenye heading. Mnakumbuka thread yangu ya kitambo niliyoweka kwa headibg ya...
0 Reactions
114 Replies
10K Views
Jikiteni sana katika kutusoma na kutuelewa Wanaume kwani nimegundua 85% ya Wanawake huwa mnakurupuka sana katika kuwa nasi Kimahusiano na matokeo yake tukija kuwapigeni Matukio mnaanza kukimbilia...
0 Reactions
3 Replies
422 Views
Amani iwe nanyi nyoote! Jamani,hivi ni kwanini JF mko hivi!? leo mtu analeta mada yake,wengine wanaanza kuponda kuwa ni utoto au ufinyu wa mawazo. Kesho,huyo huyo mtu aliyeponda na kukandia mada...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Asaalam, karibu katika mahojiano ya moja kwa moja hapa JF. Mhojiwa leo ni mshana jr mimi mwanzisha uzi ndiye Host. Labda niseme tu leo mshana jr atahojiwa kila kitu, hasa kipaji chake...
33 Reactions
505 Replies
76K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…