Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

“Bro una miaka 28 na bado hujaoa?” Hili swali linaulizwa kwa upole lakini linatia presha kichwani. Hasa ukitokea familia au jamii inayopenda harusi kuliko kunyanyuana kimaendeleo. 😂 Siku hizi...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu. Tokea ni anze kuwa na umri wa miaka 16 mpaka sasa nimefikisha miaka 30+, sijawahi kucheka wala kutabasamu kwa namna yeyote ile, japo kipindi cha nyuma nikiwa mdogo nakumbuka...
7 Reactions
71 Replies
3K Views
Wazee wa kazi kuna chimbo la madini adimu lipo hapa sinza opposite na Mlimani City, jirani na Survey discipensary. Ni sehemu hizi nyumba zipo kama makazi ya watu tu. Mwenye details zozote kuhusu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna mwana mmoja dereva wa bajaj, sasa kuna usiku mmoja alikesha ila biashara haikuwa nzuri. Asubuhi mkewe anataka hela ya pampas, akamwambia kama ana kaakiba akanunue, ila mchana akiingia mzigoni...
15 Reactions
112 Replies
3K Views
Wakuu wa humu heshima yenu! Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania. So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao...
35 Reactions
190 Replies
7K Views
Imagine pale mwamba anagugumia kufika kileleni ( orgasm) ...ndo inakua mwisho wa uhai wako [emoji23][emoji23] bila shaka wanaume tungekacha sex Hii hutokea Kwa Anaconda wa kike humla anaconda wa...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi nawasalimu..... Moja kwa moja kwenye mada... Mimi nina mpenzi wangu na huu ni mwaka wa pili.... Mwanzoni mapenz yalikuwa matamu sana (mapenz ya simu na kupeana hela...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Inasemekana wanawake/wasichana wa kihaya pamoja na wale wanaotokea mkoa wa tanga ndo wanaoongoza kwa kuyajua mapenzi hasa hasa ya kitandani, kuna ukwel hapa? Kwa wale waliowahi kugegedana na...
1 Reactions
90 Replies
25K Views
Wana JF, nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba...
2 Reactions
82 Replies
15K Views
Nilikuwa navisikia tu,ila jana nilishuhudia kwa macho yangu mwenyewe maeneo ya morogoro-chamwino mida ya saa 4 usiku hadi asubuhi,kiukweli KAZI YAKE MUNGU HAINA MAKOSA watoto,wanawake wanakata...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Few weeks ago when Daniel Bryan was beaten and taken to hospital his wife rise hand upon stefanie~ a WWE boss This wik stefanie announced and tell Bryan u know I'm ur boss?? now choose btn the...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana wa mmu,tangu ndoa yangu ivunjike nimekuwa na juhudi kubwa za kutafuta mke hasa kwenye mitandao cha ajabu ni kwamba nakutana na watu waliokubuhu katika mapenzi, wenye watoto tiari, walioachika...
5 Reactions
246 Replies
17K Views
Simple Research ushawahi kuwa na pisi inayokuelewa to the maximum compared na pisi unayoilewa wewe when it's comes to money Mwanamke anayekupenda hawezi kuwa msumbufu wa kupiga vizinga na kama...
23 Reactions
121 Replies
3K Views
Wadau wa JF nashukuru sana JF kwa kunipatia mke mzuri na anayenipenda kwa dhati na hatimaye tumefunga ndoa takatifu. Please wadada msinitafute tena nimepata mwenzangu wa maisha.
30 Reactions
496 Replies
56K Views
Kuna conflict hapa mimi na my future wife Soon nitamvalisha Pete ya uchumba Sasa ,kuna mabishano makali sana hiyo siku nani apige Goti.. Mimi nimemwambia sipigi goti.. ni bora tu cancell...
8 Reactions
65 Replies
2K Views
Kweli michepuko imenisaidia sana, sifa zote ziende kwao:- Hasira za hovyo hovyo kwa bi mkubwa sina Wivu wa hovyo hovyo sina Simsumbui sumbui bi mkubwa kwa tendo akiwa amechoka. Muda wote...
21 Reactions
57 Replies
3K Views
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana. Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa. Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku...
25 Reactions
169 Replies
7K Views
Mimi huwa natamani sana Wanawake zangu mbalimbali wawe Wananiroga ila nasikitika na najisikia vibaya mno kuwa pamoja na kuwafanyia kila aina ya Matukio (Kuwasaliti) lakini wameshindwa Kunituliza...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Ni wiki mbili sasa tangu bidada agundue mme wake anauhusiano wa kimapenz na rafiki yake wa miaka mingi... Mdada alikua na rafiki yake tangu 2009 ambapo walikutana chuo wakawa marafiki wakaribu...
8 Reactions
70 Replies
6K Views
wanasema ukiyajua matatizo yako bàsi unaenda kupona. Lakini kwangu ni tofauti mimi ni mama wa watoto 2, baba wawili tofauti... Ninatatizo sijui linatokana na nini na ni hali ambayo kwa sasa...
35 Reactions
194 Replies
13K Views
Back
Top Bottom