Mbona Wanawake Wengi Siku Hizi Wana Vitambi

Mbona Wanawake Wengi Siku Hizi Wana Vitambi

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
391
Reaction score
69
Jambo la wanawake kuwa na vitambi limeanza kukera mno. Zamani ilijulikana kuwa wanaume ndio huwa na vitambi, kitu ambalo sasa limebadilika.
Ukifanya utafiti utagundua kuwa wanawake wengi wana vitumbo vikubwa na sasa imekuwa vigumu huwezi kutofautisha kama mtu ana mimba au la.
Tatizo ni lipi wanawake? Hebu tufafanulieni.
 
tatizo hela bwana wewe....unadhani vyepe kitimoto na bia ndio chakula bora? ah wapi. in order to eat healthy food u need money!!!!
 
Wamiliki hela za halamu
kama za kuhongwa na mambo mengimengi ya ajabu
 
Jambo la wanawake kuwa na vitambi limeanza kukera mno. Zamani ilijulikana kuwa wanaume ndio huwa na vitambi, kitu ambalo sasa limebadilika. Ukifanya utafiti utagundua kuwa wanawake wengi wana vitumbo vikubwa na sasa imekuwa vigumu huwezi kutofautisha kama mtu ana mimba au la. Tatizo ni lipi wanawake? Hebu tufafanulieni.
Mkuu tatizo hivyo vitambi ni vya Castle Lite na nyama za kuokoteza kwenye sahani za wateja huko bar.
 
Lakini pia wapata wanawake wasiotumia vileo wakiwa na vitambi. Wanadada wadogo wanashangaza pia kwa hayo matumbo
 
Jambo la wanawake kuwa na vitambi limeanza kukera mno. Zamani ilijulikana kuwa wanaume ndio huwa na vitambi, kitu ambalo sasa limebadilika.
Ukifanya utafiti utagundua kuwa wanawake wengi wana vitumbo vikubwa na sasa imekuwa vigumu huwezi kutofautisha kama mtu ana mimba au la.
Tatizo ni lipi wanawake? Hebu tufafanulieni.

Ni wa vivu wa mazoezi mkuu!! Mtu kutembea hatua kumi anataka tax..bila kusahau lishe!! Unadhan kwa mtindo huu vitambi vitaisha??
 
Aisee you are absolutely righ. Inaonekana wewe ni zaidi ya great thinker ila umeishawahi kujiuliza kwanini wanaume wengi siku hizi wana makalio makubwa? Nadhani ni mabadiliko tu kuwa wanawake watakuwa na vitambi na wanaume watakuwa na makalio makubwa. TUJIPANGE WANAUME.
 
Ki-digital zaidi,
Haki sawa kwa wote. Tyta hebu leta picha hapo itakuwa ina husika make wasije sema tunawaonea!!
 
Last edited by a moderator:
Ki-digital zaidi,
Haki sawa kwa wote. Tyta hebu leta picha hapo itakuwa ina husika make wasije sema tunawaonea!!

Hahaaa umeongea la maana mkuu...kuna wwngine hawachelew kusema "weka picha"!!! Ngonja director Tyta atupe mwongozo!!
 
Last edited by a moderator:
Nasikia kuwa pia husababishwa na njia za uzazi wa mpango hasa sindano.Pia,naambiwa kuwa ni kukosa mazoezi ya viungo.Na tena,nimetaarifiwa kuwa ni kutokana na style wanazokaa katika majamboz

Mzee Tupatupa
 
Kupenda chips ndo tatzo ..tna zenye mayai,na mazoezi hata mepesi tu yakukata viuno hawataki
 
Back
Top Bottom