nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
Wakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.
Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.
Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga mwamba.