Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimeoa januari 2013 ndoa ya kanisani na tulipima ila nadhani mke wangu alifahamiana na madokta,mwezi uliopita nimegundua anatumia ARV toka april 2013. Nimepima mara nyingi sina virusi hata leo...
5 Reactions
231 Replies
35K Views
Habari wanajf... Mimi ni kijana bora...mwenye ucheshi na ustaarabu.. Nahitaji rafiki wa kike wa kuwa na mawasiliano nae...hata ikiwezekana kwa mapenzi ya mungu tuweze hata kuwa wapenzi . 1:UMRI...
1 Reactions
68 Replies
4K Views
Kabla ya kusex na mwanamke lazima aandaliwe kwanza tena kwa heshima na ustarabu wa hali ya juu. Sex ni hisia siyo ya kupanga leo tunasex au kesho tutasex amini usiamini sex hiyo inaboa sana tena...
2 Reactions
29 Replies
7K Views
Mm Ni kijana mwenzenu, Nina utata kidogo ktk maisha yangu naomba mawazo yenu. Nilipata kuwa na mahusiano na kijana mwenzangu wakat tukiwa chuo. Mapenz yetu yalikuwa matam tu tulipendana sana, mpk...
5 Reactions
275 Replies
19K Views
Habari wakuu. Natumaini hamjambo....... Hivi.. Ukipenda na ukazama kweli. Na siku ikatokea ukaachwa au ukatendwa na umpendae ambaye tumaini lako lote lilikuwa kwake.... Utafanya nini ili...
6 Reactions
181 Replies
14K Views
Ninastaajabishwa sana na post mbalimbali za kuwaponda masingle maza humu nawashauri masingle mother wote msife moyo hakuna kitu chochote duniani kinachoweza kufananishwa na thamani ya mtoto wako...
26 Reactions
212 Replies
14K Views
Kama uki google kwa picha ‘Unyanyasaji wa kijinsia makazini’ utashangaa, kwani takribani asilimia 90 ya mapicha picha utakayoyaona yanawaonyesha wanawake wakifanyiwa unyanyasaji wa kijinsia na...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Nadhan nipo jukwaa sahihi kabisa kwa hili ninalotaka tushirikiane nanyi kulidadavua. Kama ni vinginevyo naomba nisamehewe tu. Leo napenda nieleza jinsi amabayo Kubadilika kwa social-economic life...
1 Reactions
2 Replies
841 Views
Habarini wakuu Mara tajwa yahusika Kwa wanaume wote wa mjini marijali kama mimi watongozaji na wapenda totoz wazuri mtakubaliana na hili Hapa mjini ukimtongoza demu na kutaka kumbandua au...
11 Reactions
159 Replies
16K Views
"eti KILA MWANAUME ALIYEFANIKIWA NYUMA YAKE KUNA MWANAMKE SHUPAVU". Hii ni kauli inayolenga kupotosha jamii, haina ukweli wowote kwa karne hii ya 21 iliyojaa wanawake wanaowaza kuwa na waume...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
  • Closed
Nimekuwa nikijiuliza swali ambalo nimekosa jibu lake, wanawake wengi wamekuwa wakitumia miili yao kama vitega uchumi na hadi wengine kujengewa majumba na kununuliwa magari kisa tu wamefanya tendo...
9 Reactions
145 Replies
96K Views
Wapendwa wasalaam!!! Niko kwenye ndoa changa, mke wangu ni mtulivu sana na mkimya pia. Ninalo mpishi mzuri na mwenye bidii ya kazi. Sasa kuna suala moja simuelewi. Kila anandaa chakula...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
From an early age, we are socially conditioned to believe that a successful relationship involves two people engaged in a monogamous pairing. But recent research points to flawed assumptions about...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo nimeusikia wimbo wa "Nothing gonna change my love for you" nikakumbuka sana swala la DEDICATION wakati ule tunatumiana Barua secondary. Ebu tukumbushane wimbo au nyimbo gani ulipenda sana...
13 Reactions
272 Replies
26K Views
Habari za asubuhi wadau Nina rafiki yangu alikuwa ananilalamikia kuwa yupo katika uhusiano karibia mwaka na miezi kadhaa ila tangia ameingia kwenye uhusiano na huyo mdada linapokuja...
1 Reactions
104 Replies
10K Views
Takari ya Leo MAMA BABA YETU NAYE ATAKUFA LINI Hakuna siku niliyojisikia vibaya kama siku moja nipo nyumbani, kama kawaida yangu nilikua nimelewa chakari, nimejilaza kwenye kochi. Hapo ni...
6 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za saa hii wanajamvi, husika na kichwa cha habari. Hivi inakuwaje mtu unaanzisha nae uhusiano mnavuka stage kutambulishana kwa wazazi, mahari , uchumbani hadi mnawaza ndoa halafu huwi...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Wololo wololo wakuu. Ukisikia kokoriko ujue ndio kumekucha. Kitanda na shuka kuachia. Basi leo wakuu nimeona niwaburudishe kwa kistori hiki kitamu ambacho bila Shaka utakipenda. Wale wa kudinda...
17 Reactions
470 Replies
93K Views
Wakuu mambo vipi poleni na mizunguko Katika harakati zangu ndani ya mwezi huu nimekutana na hili jambo Hivi hii inakaaje na kwa nini yaani? Demu unajua kabisa jamaa humkubali then anakuita...
2 Reactions
93 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…