255Gene
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 888
- 1,090
Habari za saa hii wanajamvi, husika na kichwa cha habari.
Hivi inakuwaje mtu unaanzisha nae uhusiano mnavuka stage kutambulishana kwa wazazi, mahari , uchumbani hadi mnawaza ndoa halafu huwi muwazi kwa mwenzio hadi unasuburi kuuliza na pastor kwenye madhabahu kama unamkubali fulani bin fulani kama bla bla bla afu simply unasema No!... Hii imekaaje ina maana muda wote mnachumbiana hauku sure kama unampenda au labda hii No huwa na sababu nyingine...
Pendekezo langu kwenu wanandoa watarajiwa embu kabla hamjaamua Ndoa muwe mnaulizana kama kweli mnaihitaj na kama bado ni vizuri kama msiharakishe kwani mnawavunja moyo wapendwa wenu.
Asanteni.