Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,683
Habari za asubuhi wadau
Nina rafiki yangu alikuwa ananilalamikia kuwa yupo katika uhusiano karibia mwaka na miezi kadhaa ila tangia ameingia kwenye uhusiano na huyo mdada linapokuja swala kufanya mapenzi huyo mdada anamwambia asubiri mara hayupo tayari sasa hivi uhusiano wao unakaribia mwaka naa.
Lakini upande wa pili mshikaji ana mhudumia MPENZI wake vizuli tuu kuanzia hela ya matumizi, kodi na vitu vingine vingi lakini kinachomuumiza kichwa MPENZI wake anaonekana kama hayupo tayali kusex na mshikaji anaonekana kama ana myeyusha na mshikaji nae kama anakosa amani ya kumwamini mpz wake.
Je unadhani NI HAKI kuwa na mpenzi bila kushiriki naye kimwili