Ushauri

Ushauri

ikyenja

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Posts
103
Reaction score
53
Wapendwa wasalaam!!!

Niko kwenye ndoa changa, mke wangu ni mtulivu sana na mkimya pia.

Ninalo mpishi mzuri na mwenye bidii ya kazi.

Sasa kuna suala moja simuelewi. Kila anandaa chakula mezani. Ukifika muda wa kula huwa haombi badala yake husubiri mimi niombee chakula ndipo tunakula. Na mimi kwa kweli ninafanya hivyo.
Lakini navyojua ni kwamba mpishi anatakiwa kuombea chakula, mwenzangu anasema sijui.

Sasa nisaidieni njia rahisi ya kumfundisha kusali kuombea chakula kilicho mezani na Sala kushukuru baada ya kula.

Ni hilo tu. Asanteni sana
 
Mmmmhhh aiseee hivi vichwa Mungu alitupa tufuge nywele tuuu naona.. [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Acha kusali kila siku. Ataanza mwenyewe kusali tena ataanza kunena kwa lugha hadi uje hapa kuwa eti humwelewi lugha anayotumia kusali.
 
Hapana shem nilitaka kuweka msisitizo tu Stun asijewaza vingine[emoji38]
 
Wapendwa wasalaam!!!

Niko kwenye ndoa changa, mke wangu ni mtulivu sana na mkimya pia.

Ninalo mpishi mzuri na mwenye bidii ya kazi.

Sasa kuna suala moja simuelewi. Kila anandaa chakula mezani. Ukifika muda wa kula huwa haombi badala yake husubiri mimi niombee chakula ndipo tunakula. Na mimi kwa kweli ninafanya hivyo.
Lakini navyojua ni kwamba mpishi anatakiwa kuombea chakula, mwenzangu anasema sijui.

Sasa nisaidieni njia rahisi ya kumfundisha kusali kuombea chakula kilicho mezani na Sala kushukuru baada ya kula.

Ni hilo tu. Asanteni sana
Acha ulalamishi bwana aah kwani wewe ukisali unaumia mahali? Mbona yeye anapika kila siku asemi, wewe sali tuu siku akichoka kuskiliza sala zako ataomba asali mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom