Ukipenda kweli ukatendwa au kuachwa utafanyaje?

mis lemich

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
207
176
Habari wakuu. Natumaini hamjambo.......

Hivi..
Ukipenda na ukazama kweli. Na siku ikatokea ukaachwa au ukatendwa na umpendae ambaye tumaini lako lote lilikuwa kwake.... Utafanya nini ili uzimudu hisia Kali za maumivu?..

Kama imewahi kukutokea tushirikishe ulifanyaje .....
 
Unapopenda ukaachwa kwanza unakuja uchungu mkali... Unaweza kuta dume zima linalia kama mtoto... Pili uchungu ukipungua zinakuja hasira
Hapa mtu huwa anatamani apate mwengine bora kuliko yule ili amkomoe. Haya yote ni fikra za kibinadamu. Lakini mambo yote hupangwa na mungu kwa hio
1.Vumilia na subiri
2.usiwe na papara wala is it a man in kulipiza kisasi maana waweza ingia sehemu sio
3.Omba mungu.. Jiamini.. Tafuta mwenza mwingine kwa umakini.
 
Time heals. Kuteseka lazima sababu maumivu ni moyo na si akili, ukubali, usikubali, uanze mahusiano au usianze pain iko pale pale. Only time heals basi. Maumivu ya mapenzi ni tofauti sana. Ndio maana wakt nipo chuo, by laws ziliruhusu mtu aliepata tatizo la kimapenzi aakhirishe mitihani ikiwa ataona anaweza kufeli. Kwakweli tusameheane tu sababu tuliyowafanyia wenzetu au waliotufanyia ni maumiv makali na huchukua muda kupotea.
 
Naona Maleta uzi umaniumiza sana nilimpenda mpnz wangu nilitamani nifanyie kila jambo atakaloniambia na mengine nilifanya nilimfungulia biashara nikampangishia nyumba mzazi wake akiumwa namtibia lakini alinigeuka mpaka sasa naumia sana aliingia mausiano na mtu tunae fahamiana na kuna ela. Nilimkopesha milioni tano ili aongeze kwenye biashara yake juzi nimeifata kwa sababu mda tulio aidiana umeshapita akaniambia hana mpaka atakapo pata nyumbani nilimtimua sijui na biashara niichukue maana kaniathili kisaikorojia
 
Pole sana
 
pole sna ila mpenzi hakopeshwagi kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom