Kama haumpendi kwa nn unaenda kwake??

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
1,053
1,304
Wakuu mambo vipi poleni na mizunguko

Katika harakati zangu ndani ya mwezi huu nimekutana na hili jambo

Hivi hii inakaaje na kwa nini yaani?

Demu unajua kabisa jamaa humkubali then anakuita magetoni unaenda tena asubuhi, ukifika sasa,
Unafikia kwenye kiti (kama kipo) au hata kitandani,

Unaanza kuangalia tv, hutaki kuchemsha chai, kupika wala kufanya kitu chochote,

Mwanaume akipika ukikukaribisha unakuja kula bila hata ya aibu na vyombo hutoi,

Unajifanya uko busy na movie au simu tangu ufike hapo geto

Ukiguswa sasa hapo ndipo penye shida, unapiga kelele mpaka majirani nyumba ya pili wanasikia yaani unatamka neno (sitaki/niache) kwa sauti ya kipaza saut

Hapo hauondoki mpaka series uliyokuwa unaangalia iishe,
Umeme ukikatika unaamia kwenye simu unajifanya busy mno,

Unakaa tangu umefika na miguo yako hata kama kuna joto

Ukiombwa game unasema tuwe marafiki tu, na unamchukulia kama kaka yako, (dada tunao)

Then bado unamwambia hauna feeling na yy za mapenz hivyo muwe ivyo tu

Bado ukitaka kuondoka bila hata ya aibu unaomba nauli

Tukiwaondoa kwa kuwafukuza mnaanza kulialia na kuwaon wanaume wabaya

Ukweli mnaboa sana japo kuwa sisi wanaume ni watu ambao wagumu kueleza feeling zetu na mioyo yetu inafukuta machukizo kwa mambo kama haya

Note
Mambo haya nimeyashuhudia wanayafanya adult women
 
KESHO SHULE ZINAFUNGULIWA,

NA NYIE FORM TWO MNA MOCK HIVI KARIBUNI NYIE.
 
Unavyomuita mueleze kabisa lengo lako itakusaidia. Aje aoshe vyombo au kupika kwan mkeo? Pili aondoeje vyombo wakati ni mgeni jaman? Tatizo hamuwi wawazi. Nashaur next time mwambie kabisa ulichomuitia
Wanaelezwa mkuu
 
Back
Top Bottom