Rafiki anapokumegea mama yako.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rafiki anapokumegea mama yako....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Asprin, Sep 14, 2009.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Hii imetokea wiki kadhaa zilizopita.

  Kijana mmoja jirani yangu ana rafiki yake. Walikuwa wanasoma pamoja. Ni marafiki wakubwa ambao hata wazazi wanajua. Walikuwa wanasoma pamoja na kushirikiana mambo mengi.

  Kijana kaenda shule hakumkuta rafiki yake. Kuuliza akaambiwa anaumwa. Kwa mapenzi aliyo nayo kwa rafiki yake akaamua arudi nyumbani abadili nguo ili akamtembelee rafiki yake mgonjwa. Hapo ndipo alipokutana na zahama. Rafiki yake yuko juu anammega mama yake mzazi, tena sebuleni kwenye kochi! Kijana hakuamini macho yake, kwamba rafiki yake mpenzi anammegea mama yake mzazi!!

  Akatoka mbio mpaka kwa uncle wake kumweleza dhahama hiyo. Uncle kajaribu kuweka mambo sawa imeshindikana. Mama kanogewa, kijana kanogewa. Hivi sasa ni kama wameoana, mtaani wanarandaranda na gari ya mama yake rafiki yake, kijana dereva mama abiria! Wala si siri tena

  Kijana wa watu amegoma kurudi nyumbani, rafiki yake amemsaliti. Amehamia kwa uncle wake. Kinachomuumiza kichwa zaidi ni kuwa dada zake wawili wanamuunga mkono mama yao. Hawaoni tatizo liko wapi wakati baba yao alishafariki na mama anahitaji pumziko.

  Anachotaka sasa ni ushauri, alipe kisasi au asahau aendelee na hamsini zake?
  Na kama ni kulipa kisasi, alipeje? Kijana wa watu amechanganyikiwa hata maendeleo yake darasani yameshuka sana.

  Wana JF changieni mawazo jinsi ya kumshauri kijana huyu asizidi kuathirika kisaikolojia.
   
 2. Amosam

  Amosam Senior Member

  #2
  Sep 14, 2009
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwambie mapenzi hayana macho hivyo amuache kijana aburudishe nafsi ya jimama,ila amshauri kwenda kupima trampet kwani siku hizi hakina mama nao hawaaminiki!
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Sep 14, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Huyo mama ana lana awezatembea hata na mwanae huyo. Awaache dunia itawafunza!
   
 4. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Huyo Mzee alifariki na nini tena?
   
 5. GP

  GP JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  acha dogo ale mzigop bana!, mshkaji inabidi awe mpole tu, ajue kwamba jamaa sio mshkaji wake tena bali 'baba' yake!!, hahahaaaaaa aaah haa
   
 6. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2009
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Awaache tu kwani wote wamemsaliti, mama kamsaliti, na rafiki pia. Kama mama yake ameona hiyo ndiyo furaha yake ya moyoni ambacho nadhani c kweli basi amwache. Na huyo rafiki yake kama ameona kutembea na mama ya rafiki yake ambaye ni sawa na mama yake mzazi, basi jamaa inabidi tu aachane nao, hila ushauri wangu afanye kama vile hajaona kitu chochote maana akiendelea kiyaweka moyoni yatamuumiza kama hivyo ambavyo mpaka ameshuka kimasomo. Achukue time zake na aangalie masomo na mambo yake kwani elimu ndio msingi wa maisha. Mama yake yeye ameamua kumaliza maisha na mtoto wake basi amwache. Maana cc hatuna cha kusema zaidi ya kumwachia Mwenyezi Mungu pekee ndie ajuaye kama ni sawa au c sawa.
   
 7. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Daaah hapo ni balaa kweli kweli.
  Ila dogo kausha na piga kitabu kwa sana tu ktakusaidia mbeleni.Huyo mama umri ushakwenda hivyo hana cha kupoteza,anytime anaweza wahi zake,bali wewe ndo ita kula kwako ukikaa na kuendelea kulifikiria tukio hilo.
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Na wewe nawe mama ana lana gani? Nani kakwambia mapenzi yana umri? Mwache dogo ajimegee cha muhimu huyo dogo aaanze kumwita rafiki yake baba mdogo.
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Sep 14, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ....... Ulivyonishushua!!
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Baada ya kuugua kwa muda mrefu
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Mdau usicheke. Fikiria laiti kama ungekuwa wewe. Siyo jambo la kuchekesha mkuu.
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Simple, amwite baba tu na aanze kumheshimu. Anaye lala na mama yako jamani ni baba yako huyo! dogo aache ujinga akue
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Si ndo hapo mpwa jamaa anamaindi kwa vile dogo anamega alipo tokea yeye asiumie na yeye kama anaweza amfuate mama ake na huyo dogo amege na yeye ili arudishe heshima mbele.
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tena kama ni mimi nitaanza na dada zake na kumalizia na mama yake....heshima lazima irudi hapo!
   
 15. GP

  GP JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  am very serious,
  ningekua mimi sina jinsi!, ndo hivyo ningemwita mshkaji bamdogo kwishnei,
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hahaha dah alafu kama huyo dogo anae legezewa mama si ana madada wa 2 lazima nawenyewe watamshobokea dogo nao atawamega maana naona yupo juu.
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Sep 14, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Duh! Y'all going to hell for this one....
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mpwa kwani kuna ubaya wowote kikubwa kama mam'kubwa anaridhika na mapigo ya dogo.
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Sep 14, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Mmmhhh...hii komredi sina uhakika nayo maana siku ukinikuta niko juu ya kiuno cha maza utanielewa kweli hata kama maza amenogewa na mapigo? Lol
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Sep 14, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hahahaha lol nitafanyaje sasa?
  Mi najishusha tu maisha yataendelea nitakuheshimu zaidi kwa vile utakuwa umegeuka baba mdogo sasa.
   
Loading...