Habari zenu, kuna mjadala wa siku nyingi ambao umekuwa ukiendelea mpaka sasa kuhusu VIBAMIA na MIGUU YA WATOTO, binafsi siamini uwepo wa miguu ya watoto maana wadada wote ninaokutana nao (hata...
Inaweza ikawa kweli au sio hebu tujadili
Namshukuru Mungu kunifanikisha hadi kuona jua la leo, na namshirikisha kila jambo nifanyalo. Karibuni tukumbushane machache juu ya mapenzi ambayo kila...
Kuna huyu Binti n rafiki angu sana, ni rafiki wa kawaida tu. Ila amekuwa akinifanyia vitu kama mpenzi wake vile. Yan ananijali kuliko hata mpenz wangu. Yeye ana mpenz wake pia. Kila muda lazima...
Habari za wakati ndugu zangu,
Ninapenda kuomba msichana urefu wa cm 160, mweupe kidogo, mcha Mungu, elimu form six na kuendelea, bikira. Mnyenyekevu, kabila lolote, asiye na hasira mbaya; asiye...
Hivi kuna ulazima wa kuulizana kila siku, kila saa, kwenye simu ama sms, au whatsap, swali hili "je kweli unanipenda"?
Au wakati mwingine ni bora kuacha matendo ya mtu yadhihirishe upendo?
Je...
Kwa miezi kadhaa sasa tangu ofisi yangu ipigwe ban na serikali ,nimejikuta naachana kabisa na mademu zangu wote na muda mwingi nawaza kutafuta hela Tu
Na hawa mademu nahisi washajishtukia coz...
Hodi wanaJF,
Trending news ni Makonda na vita thidi ya madawa ya kulevya, naunga mkono mapambano hayo, lakini naendelea na ratiba yangu ambayo leo ndio siku yangu rasmi ya kutangaza nia ya...
Mpe Mpenzi wako sababu ya yeye kujilinda akiwa
mwenyewe hata kama haupo...Usitumie Nguvu na
Ubabe kumlinda kama hana sababu ya yeye kujilinda mwenyewe.
Mpende na ajue anapendwa ili asiwe na...
Ukimuomba demu namba ya simu alafu akakuambia hana namba ya simu au akawa ana simu lkn kila wakati anadai simu haina vocha au anakutafuta wakati ana shida ya vocha au pesa tu basi ujue hapo una...
Watu wenye masihara wamevamia jukwaa hili,unakuta MTU ameweka post ya kutafuta mpenzi kumbe hayuko serious,anataka aone tu wangapi watampaparikia! hasa wasichana na wanawake ndo wenye tabia hizi...
Huu ni msemo maarufu sana kwa wanaume. Katika swala la kufanya maamuzi, wanaume hutumia logic na wanawake hutumia hisia(feelings).
Wanaume wengi hawaridhishwi na kitendo hicho cha wanawake...
Mimi ni mvulana wa miaka 27 nafanyia kazi serikalini nikiwa kama afisa msafirishaji, natafuta mwenza niishi naye awe dini yeyote. Aliyetayari namkaribisha.mawasiliano.ukimbile@yahoo.com
Habari zenu wanajamvi,,,Naombeni ushauri mpenzi wangu viganja vigumu sijui kapiga jembe sana,,, Sasa tukiwa kwenye nipe nikupe yetu akinishika tu hasa dude basi analichubua na linavimba hatareee...
MAMA MAMA YANGU MAMA YAKO
John alimtumia meseji mke wake; “Samahani mke wangu sitaweza kuja kukuchukua, nipo Hospitalini hapa Mama amelezwa kapungukiwa damu ndiyo nahangaika watu wa kumuongezea”...
Habari,
Mimi ni kijana wa miaka 32 sasa. Ninae mpenzi wangu wa muda tangu 2009 wakati anasoma A level. Nimekua nae mpaka anahitimu chuo kikuu na Mungu ametujalia mtoto wa kike ana umri wa miezi...
Hata bashite ataelewa tu.
K- kifo, ukiendekeza sana basi tambua kabisa kifo kipo karibu yako, kama si kifo chako basi cha watu wako wa karibu.
U- upotevu wa mali, pesa , uaminifu na hata...