DEMU UCHWARA.

Simba Asiyefugika

JF-Expert Member
Apr 20, 2017
600
239
Ukimuomba demu namba ya simu alafu akakuambia hana namba ya simu au akawa ana simu lkn kila wakati anadai simu haina vocha au anakutafuta wakati ana shida ya vocha au pesa tu basi ujue hapo una demu UCHWARA.
 
Ukiona mwanaume anakutafuta tu pale genye zikimshika ujue huyo ni bwana uchwara
 
Hili ni jukwaa la great thinkers, hizi post za kibashite si mahala pale, hebu maxence anza kuhakiki vyeti
 
Back
Top Bottom