kethika JF-Expert Member Oct 16, 2015 630 472 Apr 30, 2017 #1 Kwa mtizamo wangu ni wanawake wachache sana wanaowaona waume zao kama role model. Kwa mtizamo wako ni asilimia ngapi?
Kwa mtizamo wangu ni wanawake wachache sana wanaowaona waume zao kama role model. Kwa mtizamo wako ni asilimia ngapi?
cansir JF-Expert Member Dec 6, 2016 303 310 Apr 30, 2017 #2 Evelyn salt na Mshana jr. Mmekesha Leo?!..
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,848 730,361 May 1, 2017 #3 cansir said: Evelyn salt na Mshana jr. Mmekesha Leo?!.. Click to expand... Vitanda tofauti lakini