Marry a woman with a brain, because they all have vaginas

Marry a woman with a brain, because they all have vaginas

life coach

Senior Member
Joined
Apr 11, 2017
Posts
121
Reaction score
401
Huu ni msemo maarufu sana kwa wanaume. Katika swala la kufanya maamuzi, wanaume hutumia logic na wanawake hutumia hisia(feelings).

Wanaume wengi hawaridhishwi na kitendo hicho cha wanawake kutumia hisia katika kufanya maamuzi kwani wanaume huona kuwa wanawake wanakosea( hali hii utokea sana kwenye mahusiano)

"MARRY A WOMAN WITH BRAIN,BECAUSE THEY ALL HAVE VAGINA" ni miongoni mwa misemo ambayo huthibitisha fikra hizo za wanaume.

Nikiwa kama mwanaume,na kwa kutumia fahari ya uanaume wangu naweza kusapoti kauli hii,lakini nikiuvaa ubinadamu au utu na kuweka fahari ya jinsia yangu pembeni huwa siisapoti kauli hii kwani,kauli hii inakandamiza mfumo ambao jinsia nyingine hutumia kufanya maamuzi yake.

Je wewe unaielewa vipi kauli hii, na unaiunga mkono au kupinga kwa sababu zipi?

Karibuni.
 
Mwanamke au mwanaume mwenye brain hawezi kuchepuka.Anaye chepuka amepungukiwa
Kua na brain na kua mwaminifu ni vitu viwili tofauti mkuu!!! Zaidi atatumia brain yake kukusaliti bila wewe kujua
 
Women with brain anaweza kuchepuka na usijue milele

Bora uwe na kilaza tu ili akichepuka leo. .,utagundua leo leo
Nigundue ili iweje?

Kwa hii brain yako utaolewa na mwanaume anayeongozwa na hisia kama wewe.
 
Back
Top Bottom