Hivi wanawake wa kitanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume tunaoweka pesa kwenye wallet?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,877
15,444
Hello jf!
Hivi,wanawake huwa mnapata picha gani kwa wanaume tunaoweka pesa kwenye wallet?
 
Funguka zaidi mkuu yepi yamekupata walau kujazia nyama pandiko lako
Yepi yamekukuta?
 
Inategemeana na walet yako pindi unaifungua na kutoa pesa.
 
ulimbukeni (mimi binafsi)
liwalet limejaa mavitambulisho ya Bima/uraia/kura/kazini /leseni
halafu mtu anatoa wallet anatoa 1000
.

mimi binafsi wallet sizipendi, hata zikijazwa dollar sijui nazionaje halafu ikituna ndo nachefukwa
 
Hello jf!
Hivi,wanawake huwa mnapata picha gani kwa wanaume tunaoweka pesa kwenye wallet?
Mkuu mwanamke anae jitambua hata wallet haiangalii, au niseme mie sina time na wallet nna time na mwenye wallet
yeye kwa mdomo wake atajieleza kuhusu Account yake na kunionyesha wallet hata awe na Euro wallet ndogo atawanasa wale wenye KIU...
 
Unamaanisha Kampala International University!
 
Mimi sijui nikoje sio mtumiaji wa wallet Hata kidogo, Nina wallet moja tu ya bastola basi wallet ya kuifadhia pesa nliwahi kuharibu kutumia miaka ya 2008 nikaishia kuona ni mzigo usiokuwa na faida
 
Hello jf!
Hivi,wanawake huwa mnapata picha gani kwa wanaume tunaoweka pesa kwenye wallet?
kutunza pesa ili zisichakae, wenye wallet ni wale wanaojua kuthamini pesa, sio lazima wallet ikae mfukoni mwa surual.wallet zimeathliwa na huduma za mpesa,tigopesa nk,. ndo maana wengi wanazitumia kutunzia vitambulisho tu,kwa wasio kuwa navitambulisho ndo ivo tena
 
ulimbukeni (mimi binafsi)
liwalet limejaa mavitambulisho ya Bima/uraia/kura/kazini /leseni
halafu mtu anatoa wallet anatoa 1000
.

mimi binafsi wallet sizipendi, hata zikijazwa dollar sijui nazionaje halafu ikituna ndo nachefukwa
sawa mkuu,kwa hyo kuhifadhi pesa kwenye wallet ni ulimbuken kwa mtazamo wako?
 
Mimi sijui nikoje sio mtumiaji wa wallet Hata kidogo, Nina wallet moja tu ya bastola basi wallet ya kuifadhia pesa nliwahi kuharibu kutumia miaka ya 2008 nikaishia kuona ni mzigo usiokuwa na faida
Kwahiyo bastola yako inakaaa kwenye wallet ?
 
Kuwa na wallet ni majigambo???

Sasa debit/credit cards, leseni na vitambulisho vingine utaviweka wapi? Hivi ni vitu ambavyo lazima uwe navyo muda wote.
Siyo unaanguka, watu hawakujui wewe ni nani.

Tupunguzeni u- primitive.
 
Kama huna wallet mwanaume, vutambulisho,kadi za benki unaweka wapi?
 
Back
Top Bottom