Wajanja hatulindi demu, bali tunafanya hivi

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Mpe Mpenzi wako sababu ya yeye kujilinda akiwa
mwenyewe hata kama haupo...Usitumie Nguvu na
Ubabe kumlinda kama hana sababu ya yeye kujilinda mwenyewe.

Mpende na ajue anapendwa ili asiwe na sababu ya kuuchakachua upendo unaompa maana unamtosha kumlinda dhidi ya maupendo feki ya mtaani.
Sasa wewe badala ya ku-invest muda wako kumpa Upendo wa kutosha, umejigeuza Alarm, kwamba unaweza kumlinda asiibiwe au asikusaliti...

Unapoteza muda kumfuatilia anaenda wapi, na nani, na kwa nini hajaaga,unamfuatilia nani kamtumia meseji na nani anaongea nae kwa simu mpaka unaenda kuprint statement kwenye mtandao anaotumia... Unapoteza muda wako Kama hujawahi kumiliki hata Shina la Mgomba utawezaje kumiliki mtu???

Mpenzi halindwi kama alarm, watu watai-Snooze na watamuiba kama kawa,Mpe sababu za kujiona anapendwa ili ajilinde mwenyewe. Kumlinda Mpenzi
ni sawa na kulinda Bahari,wewe unalinda Coco Beach wenzio wanavua samaki Bagamoyo
 
mpende sana akuone bwege
mapenzi hayana formula
Mie akigongwa hakugongwa akafie mbele ila nisijue tu,mawazo maisha magumu haya hela yenyewe ngumu kiama bado kuna familia ya kuangalia huku tena nihangaike nani anawasiliana na mwanamke wangu?aah wapi muda huo sina na namshkuru Mungu hili ni moja ya jambo ambalo nimeweza kuliondoa mawazoni mwangu.
 
Mpe Mpenzi wako sababu ya yeye kujilinda akiwa
mwenyewe hata kama haupo...Usitumie Nguvu na
Ubabe kumlinda kama hana sababu ya yeye
kujilinda mwenyewe.

Mpende na ajue anapendwa ili asiwe na sababu ya
kuuchakachua upendo unaompa maana unamtosha kumlinda dhidi ya maupendo feki ya
mtaani.

Sasa wewe badala ya ku-invest muda wako kumpa
Upendo wa kutosha,umejigeuza Alarm,unadhani
kwamba unaweza kumlinda asiibiwe au
asikusaliti...Unapoteza muda kumfuatilia anaenda wapi,na nani,
na kwanini hajaaga,unamfuatilia nani
kamtumia meseji na nani anaongea nae kwa simu
mpaka unaenda kuprint statement kwenye
mtandao anaotumia...
Unapoteza muda wako
Kama hujawahi kumiliki hata Shina la Mgomba
utawezaje kumiliki mtu???
Mpenzi halindwi kama alarm,
watu watai-Snooze na
watamuiba kama kawa,Mpe sababu za kujiona
anapendwa ili ajilinde mwenyewe.
Kumlinda Mpenzi
ni sawa na kulinda Bahari,wewe unalinda Coco
Beach wenzio wanavua samaki Bagamoyo
Una miakili
 
Mwanamke hachungwi hata siku moja, mwanamke anajichunga mwenyewe... mwanamke hashikiwi manati, mwanamke anajileta mwenyewe, mwanamke hagombaniwi mwanamke anajigonga gonga mwenyewe...


cc: mahondaw
 
Mie akigongwa hakugongwa akafie mbele ila nisijue tu,mawazo maisha magumu haya hela yenyewe ngumu kiama bado kuna familia ya kuangalia huku tena nihangaike nani anawasiliana na mwanamke wangu?aah wapi muda huo sina na namshkuru Mungu hili ni moja ya jambo ambalo nimeweza kuliondoa mawazoni mwangu.
Gud
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom